Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndoto hawana mpaka kiyama 🀣🀣🀣 watabakia kuonesha estates ukiulizwa owner ni wale wale wanajulikana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hii ndoto hawana mpaka kiyama 🀣🀣🀣 watabakia kuonesha estates ukiulizwa owner ni wale wale wanajulikana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Huwa wanasema tunalokota pictures, sasa nimewaletea Drone kabisa ya Mbweni

Mbweni yenyewe ndio kwa mara ya kwanza wanaisikisia leo

Niliwaambiaga mpaka saivi tumeshaweka chini ya 40% ya Dar yote kwenye hii thread 60% bado 😁😁😁😁

 
Mazingira ya international stadium ya standard za kenyaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Wataishia na akili ya kuent sio kuown hio hawatakua nayo mpaka kiyama 🀣🀣 e
Huko kwenyu mna own maghetto nyote? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Acha kua kilaza!
An average of 70% of Tanzanians are renters, spending more than 25% of their monthly income to cover for housing expenses especially in major cities of Dar es Salaam, Arusha, Mwanza and Dodoma.
 
Kwanini urudie picha moja mara tatu, picha ingine mara mbili😁😁😁 ama ndo ile 5% development. Buahaha
Hio ndio 5% umetumia mahesabu gani hebu tufundishe mwenzetu munaanza kua waoga mapema 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hii ndoto hawana mpaka kiyama 🀣🀣🀣 watabakia kuonesha estates ukiulizwa owner ni wale wale wanajulikana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Hao unawaita "wale wale" hizo nyumba wamezijenga waziuze au wazilalie wao wenyewe. Acheni akili ndogo, hukusoma wewe? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kumiliki ardhi tanznaia sio tatizo kabisa let me show u πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
Kiwanja kinauzwa 2.5m tsh sawa na 116,000ksh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…