Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado unataka aendelee kupiga tena sasa hivi ndio atawaumiza kabisa.yani mtu mmoja awekeze nyanja zote hzo[emoji1787]
Asante sana kenyatta kw kumfukuza dangote kijanja, nchi yetu heri tuitafune wenyewe kuliko kuja kumpa mpigaji kw jina la muwekezaji
 
Unaeza nijibu jackma ameekeza nn kenya na ukipata nitag 🤣🤣🤣
 
Mwengine anamsifu billgates kuja kenya 🤣🤣🤣🤣👇👇 Baada dangote kucancel kuekeza kenya kisa ufisadi na rushwa sasa hvi wanaumia dangote kumwaga pesa tanzania
 
show us Alibaba headquarters in Kenya! Ati ni mistake Dangote ku-invest Tanzania, jamaa anaenda kuwekeza fertilizer factory more than 500 mln worthy of investment! Usisahau kasema anaangalia maeneo mengine kwa portofolio yake ya kampuni yake siwezi kushangaa aki-invest kwenye sugar ama coal power plant!

Na Total nao wamefanya mistake ku-invest over $4 bln of EACOP in Tanzania?
 
Wivu unawasumbua sana 🤣🤣 eti dangote alifukuzwa na kenyatta waone walivokua wapumbavu wa akili😂😂
Wakat dangote kaondoka kenya kisa rushwa na ufisadi
 
kenya wanapewaje[emoji23]

ngoja nilete mjadala kidogo
zaman: miaka mitano mkataba ulikuwa ni 23billions
saiz: miaka kumi mkataba ni 225billions (112.5b miaka 5)

kuna faida kubwa bakhresa ameipata ndo mana kaona aweke mkataba wa miaka kumi ili apate hela zaid ..

afu kwa hela hizi, bakhresa sio tajir mkubwa zaid Tanzania?? dah haongei ila hela zake zinaongea

pia, tutarajie uwekezaji mkubwa sana wa Azam katika michezo..
 
Kwani hiyo Tshs 225 bln inalipwa kwa mkupuo? Hiyo ni sawa na Tshs 22.5 bln kwa mwaka! Mbona ni fedha ya kawaida ukilinganisha na kasi ya ukuwaji wa ligi yetu? Azam amefanya ujanja (smart business decision) kulinda miaka ya kuhodhi kwake ligi kwa miaka 10! Whether that is a smart move for TFF, sijui!
 

Bakresa mjanja sana anajua in the next five years ligi ya bongo itakua inaingiza mpunga mrefu sana
 

Uku tulishawazikaga zamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…