Hivi hii Nairobi mbn siielewi jamani, ukiacha vile vijengo viwili vitatu the rest ni pori au macho yangu yana shida wakuu.
Project inachukua muda mrefu! For some reasons miradi ya Wajapani imekuwa ikienda mwendo wa konokono!
Mzee wa kidimbwi wacha nuksi!
Leo nimekutana na mzimbabwe mmoja tukawa tunabadilishana mawazo, akaniambia vipi Dar nikamjibu kama unavyoiona, akaendelea kusema kwamba Dar hakuna mambo ya mask kabisa nikamwambia vipi Harare, akasema kule ni mask tu, nikamuuliza vipi Dar unavyoona kuna corona? Akanijibu hakuna corona hapa Dar.
Tukaendelea, nikamuuliza unadhani ni kwanini? Akanijibu Magufuli alikuwa na akili nyingi sana, nikamwambia lkn ndio keshakufa, jamaa akanijibu westerners killed Magufuli am telling you, dah roho ikaniuma sn.
Eneo hili linafanana na Moshi TownThe view of Kilimani from Lavington is spectacular!View attachment 1794130
Duh hiyo kibanda ndo brt station!!!??? hahaaaaa haaa dah wakenya bado sanaBRT stations on Thika road coming up well
View attachment 1793689View attachment 1793690View attachment 1793695
Ambulance kila county!????..tz kuna ambulance kila kata(ward)..Tena hawa wana ambulances kweli km vile sie huku tunazo kila county