Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msaidie kusema ni wapi mm nikuletee picha ukitoka ww mwanaume 🀣🀣🀣 kila sehemu pamejengeka na kila sehemu kuna majority sasa taja ww panapokupa shida nikupe dawa
Mzee sisi hatujui kwenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona unaogopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwao middle ni mtu anaeza lipa rent ya bed sitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa unajiukiza maswali mengi aliepanga hajafkia vigezo vya kuitwa middle hata kwa ramli ila ndoto ya kujenga wataiskia mbinguni sio duniani
"middle class" [emoji23][emoji23][emoji23]

Ingia kwenye search engine yako hapo halafu search pipeline estate nairobi uone maajabu.

 

Ndio kuwa na mijitu hovyo kwenye uongozi. Kikwete kalikost sana taifa hili.
 
Mimi sijui wapi super majority wenu wanakaa, ebu nisaidieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kila sehemu dar kumejengeka na kila sehemu kuna majority na uzuri wa huku ni mixed class sasa ikiwa masaki alone ni size ya mombasa wewe unategemea nn πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mimi sijui wapi super majority wenu wanakaa, ebu nisaidieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na wale wenzetu wa ndege tatu chakavu wanakuona ujue 🀣🀣🀣🀣
 
Kibera ni slum danganyikan so lazima tu pawe pachafu. Lengo langu ilikuwa ni kuwaonyesha maeneo yanayozunguka Kibera. Umeona kuna hadi golf course hapo kando ambayo kilaza mwenzako aliita pori just because Dar has one golf course.

Ukiangalia maeneo yanayozunguka kibera utoaona ni bora mara mia kushinda zile uswazi zenu mnaita dream houses. Ndio maana kila siku hapa mnaleta picha za kibera kwa sabu ndio sehemu pekee Nairobi mnaweza kulinganidha na hiyo glorified fishing village yenu.

Bonus truck

Compare with your uswazis that dot the entire city πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
So hawa ni waongo au πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Wakati wa middle class utafika sasa ni zamu ya the super majorityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tuoneshe hzo sehemu au tuambie hzo sehemu tukueletee picha mubashara alaf tuone mwenye nyumba na asie na nyumba nani anamaisha magumu 🀣🀣🀣🀣
 

Huu upuuzi ndio huwezi kuupata bongo yani wenye uwezo na wasio na uwezo wanatenganishwa kwa fensii
 
Mzee sisi hatujui kwenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona unaogopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hamujui na munavookota picha google za slum mukisema dar hua pia hamujui au ni hasira 🀣🀣🀣🀣
 
"middle class" [emoji23][emoji23][emoji23]

Ingia kwenye search engine yako hapo halafu search pipeline estate nairobi uone maajabu.

Zote ni bed sitter wamepanga Hapo ukiwauliza sasa watakwambia ni middle class huyo middle class hana kiwanja wala nyumba anatafuta pesa ya uji tu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Na mathare unamuachia nani πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡ hii jahannam nyingine yenye watu million moja u amuachia nani πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hio picha umepost ni tabata sasa wacha tuzoom tuone kwann mzungu awe na akili zaidi yetu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ngoja nizoom tena nione kwann mzungu anaakili kuliko ww na wajaluo woteπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡ mm nazoom picha unayopost ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…