Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usituchoshe na terminologies za kijinga.
Nairobi ni Nairobi, Kajiando ni Kajiando. You can't combine them na kuziita Nairobi ni upumbavu.

Nairobi Aerial View


View attachment 1788201
Wewe kilaza wa vijiweni utatufunza nini wewe?πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜., ukweli unatesa lakini vumilia tu kaka, it is what it is, kupinga kwako hakutobadilisha, zoea bratheπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nairobi area, plus Nairobi Metropolitan areaπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 1788219
Usilazimishe akili za kitanzania kwa mambo ya Kenya πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚., hapa raha tu bro.,
Ndio maana kuna counties na kila county kuna gavana kuna mbunge 🀣🀣🀣 kimabu ni county inajitegemea na uongozi wake tofaut, machakos ni county inajitegemea

tukija kwenye city area πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
What of metro? Mbona hautakiπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜., unaumia?
Niumie nn wakat mambo yako mezani πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kila county ina bunge ina gavana ina mbunge so waliopima city area hawana akili au????
 
Ni sawa na kusema dar es salaam na mkoa wa pwani 🀣🀣🀣 umekuaje Don YF wewe ni don wa wavuta ganja nn

Na hapo hio 696km city area bado msitu ni 70% 🀣🀣🀣🀣
 
Nairobi view



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…