Acha kujiingiza kwenye topic you don't understand. Who interfered with your brain cause by the looks of things is like you don't understand what you are talking about.Is city wealth equivalent to real estate investment?
Do you understand what comprised in city wealth?
Nenda Kasome tena kwa undani, kama kiingereza shida kama kawaida yako, njoo nikusaidie.
Outside SA and north africans theres no city that can rival nairobi.[emoji23][emoji23][emoji23] hata mbili hazifiki View attachment 1787178View attachment 1787179
Ulitaka aweke hizi ambazo ni pana na wanapita watu wengi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1787044View attachment 1787045View attachment 1787046
Kuna road fulani hapo kunakuanga na tu building kumi ndio waitanga second cbd [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Outside SA and north africans theres no city that can rival nairobi.
Afghanistan like picEastleigh[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 1787118View attachment 1787119View attachment 1787121
Hiyo sehemu hata Mombasa road imeishinda. Sijui wanaiita morogoro road sijui kijitonyama.Kuna road fulani hapo kunakuanga na tu building kumi ndio waitanga second cbd [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Kama ushawahifika upperhill hiyo side ya mbagathiway ndio utajua mombasa road iko na building mob....hiyo view ni nomaHiyo sehemu hata Mombasa road imeishinda. Sijui wanaiita morogoro road sijui kijitonyama.
hili suala, kwann governments za serikali nyingine wasicounter attack zaid kwa kujenga viwanja vyao wenyewe.. too bad.. top viongozi wa Africa hawajali kbsa kuwekeza kwenye michezo.. nimeshangaa sana hata rais wa liberia nae kashindwa kbsa wakat ni mshindi wa mchezaj bora dunian
Bwana Mapesa umeulizwa kuhusu estates mbn unashindwa kuelewa? Au mipesa uliyonayo imekulevya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kujiingiza kwenye topic you don't understand. Who interfered with your brain cause by the looks of things is like you don't understand what you are talking about.
Dar ikipatikana kwenye hi list unitag.
View attachment 1787181
Ukipata Dar is slum hapa unitag tafadhali.Bwana Mapesa umeulizwa kuhusu estates mbn unashindwa kuelewa? Au mipesa uliyonayo imekulevya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1787229View attachment 1787233
Vibanda tupu😂😂🤣🤣Urefu wa Barabara za Dar ambazo ni rafiki kwa watembea kwa miguu zinaweza kuwa ndefu sana. Na baada ya BRT phase 2 na 3 kukamilika tutakua sawa sana na sidhani kama kuna jiji litatukaribia kwa Maeno hayo.
Pedestrian and Cyclist friendly Roads in Dar
1. Nyerere road from terminal one to Nkrumah —— Bibi Titi and Al hassan Mwinyi road all the way to Bagamoyo road .
2. The whole of Morogoro Road
3. The Whole of Msombazi street
4. The whole of Kivukoni road
5. Ali Hassan Mwinyi to Bagamoyo road
6. Uhuru road from Mnazi mmoja to Karume.
7. The whole Kawawa road
8. Sokoine Drive from Clock tower.
9. Bibi Titi Mohamed road.
10. The whole of Mandela road
11. The whole sam Nujoma road
Morogoro / Mandela / Sam Nujoma
View attachment 1787182
View attachment 1787184
Nyerere road
View attachment 1787185
Bibi Titi/ Alhassan / Ohio street
View attachment 1787186
Mandela road
View attachment 1787187
Ali Hassan / United Nations road
View attachment 1787188
Uhuru / Lumumba road
View attachment 1787191
View attachment 1787192
View attachment 1787195
Ali hassan Mwinyi road
View attachment 1787196
Kwamba next time you won't show me even your nails au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Michael Jordan has never been to Kigali!hili suala, kwann governments za serikali nyingine wasicounter attack zaid kwa kujenga viwanja vyao wenyewe.. too bad.. top viongozi wa Africa hawajali kbsa kuwekeza kwenye michezo.. nimeshangaa sana hata rais wa liberia nae kashindwa kbsa wakat ni mshindi wa mchezaj bora dunian