The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hiyo Eastleigh ina vi apartments viwili vitatu lkn eneo kubwa pia ni ma slums kushoto kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Slums kushoto kulia
View attachment 1786889View attachment 1786892View attachment 1786894
Majengo bado mna safari ndefu, jengeni kwnz zen tuanzishe ligi ya concrete jungle.Hili jiji wachatu [emoji7]View attachment 1786911
Anatamani kusema umeiba picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunawafundisha usafi, jamaa wachafu mnoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Understand the sarcasm😁😁😁 kitengela a maasai rural area is better than anything outside dar cbd. Joke is on you😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umeanza kuiogopa CBD ya Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulitaka aweke hizi ambazo ni pana na wanapita watu wengi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wewe unatuletea sidewalk enye hata watu wawili hawaezi pitia,[emoji23][emoji23]
Sasa hizo picha chafu mtu anaezaiba? Ona venye buildings zimechapa🤣🤣😂🤣Anatamani kusema umeiba picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo picha huwa wanapiga ktk angle kubwa ili wakuongopee kuwa eneo kubwa liko hivyo ila ukiweka angle ndogo ndo utajuwa uhuni wa Wakenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pwahahaha. Mzee hujishitukii!?
Huto tunyumba ni family ya mtu mmoja hapa TZ tena nje kabisa ya mkoa wa Dar
View attachment 1786995
Unateseka ukiwa wapi???😁😁😁😁Hizo picha huwa wanapiga ktk angle kubwa ili wakuongopee kuwa eneo kubwa liko hivyo ila ukiweka angle ndogo ndo utajuwa uhuni wa Wakenya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Maskini 14b ksh zimeenda na maji
Kusoma ndio hujui ama?Is that has anything to do with real estate investment in respective cities?
Kusoma ndio hujui ama?
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mbili hazifiki