Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waambie iyo ndio temeke wanayoiita slum na kufananisha na kibera mitaa imenyokaa na iko paved na inataa je mathare uko wanasemaje
Sisi hatuna slums. Tuko tu na dream houses in middle income estates πŸ˜‚ πŸ˜‚
Welcome to Nairobi guys πŸ˜‚

Nimependa sana hiyo picha ya mwisho. Hayo madirisha ya hiyo dreamhouses yanafurahisha kweli. Sijui ni kama milioni ngapi hivi hizo madirisha. Alafu naona mwenye nyumba Venus Star msomi mwenyewe amefanya hadi landscaping moja ya nguvu kando ya nyumba. Lakini mbona umeua mbwa kwa njaa Venus Star? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Unatuletea picha za mwaka 1992. Hebu kuwa serious basi 🀣 🀣🀣
 
Ilishatoka huko wakati those are live images on Google Earth! Wewe msomi ndio uliiondoa?
Ondoa ushamba wako mzee. Unadhani Google Earth inapiga picha!!? 🀣 🀣🀣
Tafuta kuwa na exposure kidogo uijue Google Earth ijafanya kazi vipi

Au nipatie pesa kidogo nikufundishe.
 
Ondoa ushamba wako mzee. Unadhani Google Earth inapiga picha!!? 🀣 🀣🀣
Tafuta kuwa na exposure kidogo uijue Google Earth ijafanya kazi vipi

Au nipatie pesa kidogo nikufundishe.
Nifundishe IT expert asiyejua maana ya economy. Am all ears
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leo wanakula viboko vikali sana. Hakuna huruma tena
Nilikuambia hawa hawapelekwi polepole. Kama kuna kitu wanachukia ni aerial images coz it exposes their rot. Unaona mmojwa wao ashaanza kuzikana πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…