Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapuuzi hao, no wonder wanapigwa kila uchao. The fact that tunauza kwao kuliko wanavyouza kwetu says it all.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I need an answer from Tanzanians on this pipeline issue.

Why do you think the pipeline is going to Mombasa instead of Nairobi where 90% of kenyan companies are located?

Let me hope it's not what I'm thinking [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa akili zenu za kijinga mnachekelea. Hiyo ni ishara ya wazi kuwa you guys are very stupid. You never think of the bigger picture. Hiyo gesi mnapaswa kuihitaji kwa ajili ya viwanda na uchumi wenu kama anavyoitaka Museveni. Instead na hizo akili zenu ndogo itakuwa mnataka kuwa tu madalali ili mfanye exports! A very stupid neighbour we have. Very short sighted.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unatupangia? The gas will be exported.
 
25 km,10 lanes,,,this superhighway connects to Nairobi expressway,, Nairobi will be Europe πŸ‘πŸ‘πŸ˜#uhurunakazi!
10lanes hahahahahaha nimecheka sana leo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Umeanza kuona leo wananchi wakikashifu serekali, basi na wala hutoskia wakiitwa vibaraka wa mabeberu ama wasemwe vibaya na kuitwa sio wazalendo
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 wasifu nn wakat debt to GDP ration iko kwenye red line hata hayawani hawezi sifu mpaka dunia inasmama
 
No such nje ya DarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, watahara humu soon., Kisumu pia works ongoing on flyover between Kondele and Mamboleo interchange., Tz ni Dar pekeeπŸ˜‚πŸ˜‚
Tuhare kwa lipi hebu nidanganyee 🀣🀣🀣 flyover ipi kisumu ile ya matofali pale kondolee slums πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…