Kenyan bana ,kupitia Uzi huu nimejua kuna mada izi ukimtajia mkenya anakimbia kwanza anarudi mpaka mambo yapoeBuilt in 1980 and yours 2009 hauna aibu wewe
sent from iPhone 7
Kenyan bana ,kupitia Uzi huu nimejua kuna mada izi ukimtajia mkenya anakimbia kwanza anarudi mpaka mambo yapoe
1. Kumiliki ardhi Nairobi
2. Kujenga dream house Nairobi
3. Makazi ya kawaida ya normal citizens wa Nairobi
4. Technology APA ndo wanaleta bla bla kibao uku mpaka karne hii driving licence wanatumia booklets
5. Chakula huu ni mwiba makali sana kwao kwani njaa haijawai muacha jirani yetu mkenya kila mwaka anaililia Tanzania imlishe ,ila mjue kwa sasa tumegoma kuwa spoon feed tunawauzia ugali na uji sio maindi tena
6. Majengo marefu ,apa watakuletea mpaka antenna wanakwambia ndio urefu
7 . public transportation ya jiji LA Nairobi wakisikia ya DSM wanakimbia kwanza
8 . Ukiwaonesha wa Kenya the only super bridge in East and central afrika ambayo inapatikana DSM ,wanakuletea na wao weigh bridge za Nairobi kwa ajili ya kupima magari uzito
9. Ukiwaonesha stadium international ambayo east na central afrika hakuna ipo only in DSM bila aibu wanakuletea ka uwanja kagofu kanaitwa sijui kasarani hakana ata viti watu wanakalia concrete cement
Uzi uendelee niendelee kuwa study
spensa_e
Hello neighbour from north, have you eaten!?
madaku gaku....[emoji23] [emoji23]Gutire thina ngui eno 🙂 🙂 🙂
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Acha uongo hii ni North America
Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
Unaongelea Arusha airport... The busiest regional Airport in a country.... Ambapo flight zake zinaizidi hata eldoret na kisumu airport... U guys mkapimwe akiliMzungu amepigwa shock. ...Hahaha
Vip
Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
Hadi 2020 hili jukwaa manyang'au yatakuwa yashakimbia na mengine kubadili ID's,Stadium mpya itayojengwa Dodoma na Magufuli itachukua mchoro kama yakiwanja hiki kilichopo chini. Kitakuwa kiwanja kikubwa zaidi kuliko cha Dar es salaam kwa kubeba watu wengi zaidi. Hadi sasa maandalizi ya site clearing yanafanyika mjini Dodoma. Magufuli hoyee. Magufuli tumpe number ngapi?View attachment 539789View attachment 539789
Very beautiful indeed park -inn 4 star hotel, ndio maana mimi hukuambia macho yako yana makengezaMy friend, if your eyes convincing you that pumpkin iko safi, unatakiwa uende kwa doctor wa macho.
What the difference of this tank
and your Tank building
This is Outer ring road under construction man google
My friend, This is not Nairobi, So you guys are now driving on the right? Even the vehicles on the road are telling us a different thing.
Embu ndio???? Kuna Embu county KenyaHotel Golden Tulip Dar es Salaam,
Embu Wakenya baada ya kuisoma namba "mkuje pande hii" 🙂 mpunge upepo kidogo.
Hadi 2020 hili jukwaa manyang'au yatakuwa yashakimbia na mengine kubadili ID's,
Maana
JNIA will be greater than JKIA
Flyovers and Interchanges
SGR
Dodoma Stadium
DSM Port complete
Umeme wa Kumwaga
Viwanda Vingi
ATCL on its peak.
Ni bahati kubwa Kuzaliwa Tz.
A whole grown person thinking every kenyan is starving shows how bad Tz is hit with dumb heads.Hello neighbour from north, have you eaten!?
I am just from diani beach and that is a common sight. We even have skydiving in diani