Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kudadadeki, umetaja hadi sacco, Mwalimu wako nnani!? 🤣 🤣 🤣
Alafu uliyoyataja hata ni kidogo sana, wewe sio msharp wa kuchunguza, achia wenzako!
We endelea kujichekesha mzee , izo ndio matatu zenu mnazotumia Nairobi Eldoret kitale busia mzee bado unabishiaa 😂😂😂 mabasi machache sana uko mm najua kwa sababu nishasafiri sana pande izo Eldoret express ndio mkombozi wenu na akamba ila akamba ashakufa
 
Mzee bado unakomaa na Tahmeed.
The owner of Tahmeed anaitwa Saif Nassoro Salim. Ni mkazi wa Tanga.
Tumekuachia hiyo Tahmeed iwe yenu. Tuendelee na battle.
Ndio huyo Saif Nassoro Salim kwa linkedin, hivi anakueleza anakaa wapi?

Mzee bado unakomaa na Tahmeed.
The owner of Tahmeed anaitwa Saif Nassoro Salim. Ni mkazi wa Tanga.
Tumekuachia hiyo Tahmeed iwe yenu. Tuendelee na battle.

ig page ya tanzanian branch ila bado wanaweka namba za kenya[emoji23][emoji23].. nilitaka nimwambie alete ya branch ya kenya[emoji23][emoji23] ila ngoja nimpuuzie
 
ig page ya tanzanian branch ila bado wanaweka namba za kenya[emoji23][emoji23].. nilitaka nimwambie alete ya branch ya kenya[emoji23][emoji23] ila ngoja nimpuuzie
Number ya Kenya kwa wale wanataka kutembea Kenya.
Headquarters za Tahmeed Coaches hizo.

Nimekupa home work Tafuta details zake uziweke hapa. Kwani hiyo ndiyo imakufanya ujue kuwa ni mkenya. Mbona umeng'ang'ana na kabasi kamoja. Mimesema nimekuachia tuendelee na battle.
It is bigger than all your buses combined. Nishakuwekea LinkedIn page yake ma umeona ni Mkenya. Nini Tena?
 
Nimekupa home work Tafuta details zake uziweke hapa. Kwani hiyo ndiyo imakufanya ujue kuwa ni mkenya. Mbona umeng'ang'ana na kabasi kamoja. Mimesema nimekuachia tuendelee na battle.

[emoji23][emoji23][emoji23]huyo jamaa mwehu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…