Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kweli mgeni hizo picha ulizopost ni mbili tu ndio za Tz tena ni Tz ya 90s zingine zilizobaki ni za Kibera na nchi zingine, wenzako walishapost zote hizo na tukawaumbua ss wewe kwa ugeni wako unaokota zile zile, ushamba mzigo wallahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukija kwa style ya bullying, hapa ndio umefika utapotea.
Njoo kistaarabu then we talk.
 
Usijiliwaze na hilo, zote ni za Tz, from a verified source. Alafu mko hapo mwajisifu! 🀣 🀣 🀣


Tz ya 90s ulisema? πŸ˜‚
 
Huna la kusema! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
battle ya kijeshi ingia huku,tulishavijadili loong time na tukawachapa usipoteze mda...
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Nilianzisha battle ya shule za serikali hapa wenzako wote walikimbia, ukitaka niirudie nipo tayari

Kwa shule zipi muwe wa kwanza wakati mnasoma chini ya miti? Majority ya counties zote za north hazina hata shule za secondary, Kenya ni nairobi tu
Peter Tabichi is a science teacher who gives away 80% of his monthly income to help the poor. His dedication, hard work and passionate belief in his student’s talent has led his poorly-resourced school in remote rural Kenya to emerge victorious after taking on the country’s best schools in national science competitions.
Peter started a talent nurturing club and expanded the school’s Science Club, helping pupils design research projects of such quality that 60% now qualify for national competitions. Peter mentored his pupils through the Kenya Science and Engineering Fair 2018 – where students showcased a device they had invented to allow blind and deaf people to measure objects. Peter saw his village school come first nationally in the public schools category. The Mathematical Science team also qualified to participate at the INTEL International Science and Engineering Fair 2019 in Arizona, USA, for which they’re currently preparing. His students have also won an award from The Royal Society of Chemistry after harnessing local plant life to generate electricity.
NB;nafikiri unamjua huyo, anafundisha shule za vichakani, na ndio wanabobea kwa masomo.

Clearly, something powerful is going on in Kenya’s schools. In 2018, I wrote about how Kenya is a global hotspot for education innovation for BRIGHT Magazine; the past decade brought an exciting rise in education companies, nonprofits, and government reforms β€” with new schools like SHOFCO and Bridge, teacher training and coaching models like Dignitas, national efforts at scale like Tusome, and successful edtech start-ups like Eneza.
 
Sina time ya kushindana na wasiojua kitu, endeleeni kukaa kambini mkijimwambify vita vya "past". Mambo yanaenda mbele /yanabadilika!
 
Eh, BBI!!!
Bro acha kujiaibisha basi, ikiwa wanamgambo wa alshabab πŸ˜‚πŸ˜‚ wanawapa kichapo kila uchwao alaf eti mushindane na tz .? Jeshi gani limeshindwa kuzuia hata threat za wanamgambo wa ng'ambo.! Wazee mnavamiwa mpaka capital city, yani watu kutoka somalia hadi Nairobi mnapigwa, bhana saa zingine hata ujiulize maswali marahisi kama hayo
 
Sina time ya kushindana na wasiojua kitu, endeleeni kukaa kambini mkijimwambify vita vya "past". Mambo yanaenda mbele /yanabadilika!
By the way wanajeshi wa bongo hawapo makambini tu kama unavyojidanganya, tunapeleka jeshi kongo nafkiri kila mwaka kwenye majimbo ya (GOMA,BUKAVU N.K) kupigana na makundi ya kigaidi kama vile (ADFNALU,M23 N.K)yanayoteka maeneo yao, na tunafanya vizur tu n by the way majeshi yetu yanalinda vyema mipaka yetu ndio maana hauskii tukivamiwa na kupigwa hovyo hovyo na vimakundi vya wanamgambo
 

Ratco, Tanga-DSM .oy wajuaji wa mambo tuwaleteni hawa jamaa uku kwenye battle la vyombo vya usafiri tuwanyooshe pia The best 007 au unasemaje bro.?
 
Hawa jamaa "ADF, NALU,M23 n.k" mmemalizana nao, yaani kuwatokomeza duniani? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mkifanya hivyo, hata kazi naacha! 🀣
 

Bro Venus Star jana ulivyokua ukibishana na bro Tony254 sijaona ukizitaja hizi ndege zetu za kijeshi,mana tony alidai sisi tuna ndege za kijeshi zisizozidi 40 πŸ˜‚πŸ˜‚ ilihali kila uwanja wa ndege hapa tz utakutana na ndege za kijeshi zisizopungua tano, hiyo ni nje ya makambini, by the way hizi zinaitwaje ka mkubwa.? mjuzi wa mambo haya, heb niweke sawa mdogo ako
 
Hawa jamaa "ADF, NALU,M23 n.k" mmemalizana nao, yaani kuwatokomeza duniani? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mkifanya hivyo, hata kazi naacha! 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila we jamaa, kwani hao wanamgambo wa alshabab mmemalizananao.? Nilichotaka kukwambia hapo ni kwamba wanajeshi wetu hawapo kambini tu kama unavyojidanganya, tunasaidia mataifa jirani pia (that's the indicator of powerful country) tunajiweza mpaka tunatoa na misaada kwa jirani πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…