Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio wikipedia haijabadilika. Nenda mwenyewe kwenye page ya Kenya airforce uone. Haijabadilika chochote. Changes za Venus Star hazijakuwa saved.
Mzee najua wapo wakenya wajanja ambao sio washamba kama wewe wanabadili. Wikipedia is a free data collection system. Ndio maana wanaweka na reference from reliable source not only Wikipedia.
 
Hili jitu unajua linaitwaje? Jitu linafanya mashambulizi ya hakika. Jitu linaitwa Harbin Z-9. Tunazo sita wakati nyinyi mnaringa na helicopter mbili.
View attachment 1755926View attachment 1755927View attachment 1755928
Alisema The best 007 kuwa maneno ya mkunya chukua moja tu kwenye mia tena hilo moja hakikisha unalichunguza.

"This is the second crash of a Kenyan Harbin Y-12-II in the past six months. The previous incident was at Dhobley Airstrip in Somalia, in August."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…