Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

baadhi ya nyumba zimeanza kumalizika kwenye ile project kubwa kabisa ya iyumbu dodoma ndani ya eneo la 236 acres
 
2019 utakua unahara ukiiona
hahaah maana since 2014 munaimba nyimbo moja tu na maendeleo hatuoniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hio ni ndoto ya alinacha bora hata avic japokua ni investors wameonesha nia hao hass toa kichwani
 
hahaah maana since 2014 munaimba nyimbo moja tu na maendeleo hatuoniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hio ni ndoto ya alinacha bora hata avic japokua ni investors wameonesha nia hao hass toa kichwani
Kazi inaendelea day and night endelea kukondoa macho
 
hahahha ety filters zinawawasha. View attachment 536047
Takataka gani hizo unazileta hapa. Majengo Design za kizamani sana. Modern Building wanatumia glass wewe unaleta majengo mazito kiasi cha kufanya ardhi ititie.
Huo ni ushamba wa zamani za kale. Check
 
inawezekana maana AY tiyar anamjengo wa kifahari kule pia inawezekana wanyama alivutiwa na mazingira.....chek omy dimpoz alichosema [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Kazi inaendelea day and night endelea kukondoa macho
ikwapi kazi inayoendelea toka 2014 kazi inaendelea tu au ndio munajenga white elephantπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mbona DC siwaoni sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au uchumi umeshikwa na investors
Wale ni DC kwenye makaratasi ya wazungu tu ili waendelee kukamuliwa vizuri
 
FOUR ICONIC Cities in Africa.
North Africa - Cairo
West Africa - Lagos
South Africa - Johannesburg
East Africa - The mighty NAIROBI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…