Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umechange gear sasa[emoji1787][emoji1787]
Leo nimedungia zote, ukija popote nipo
Kwamba tanzania mabasi yanaangula ila kenya mabasi hayaanguki kisa ndege yenu imebutuka 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwamba tanzania mabasi yanaangula ila kenya mabasi hayaanguki kisa ndege yenu imebutuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwn siku hizi tz kuna mabasi ya wakulu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umekosa evidence au unatafuta njia yakuondokea πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Evidence ya nini!!? Yaani ni mpe taalifa, tena ni mpe evidence ni fala!? Evidence katafute mwenyewe!!!!

Halafu kwa taalifa yako, Mombasa barabara nzuri tu ulivyoambiwa.
 
Evidence ya nini!!? Yaani ni mpe taalifa, tena ni mpe evidence ni fala!? Evidence katafute mwenyewe!!!!

Halafu kwa taalifa yako, Mombasa barabara nzuri tu ulivyoambiwa.
View attachment 1700302View attachment 1700303
Kwani mwanza hakuna roads ??πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡




Mm nataka uniletee mombasa streets zenye hadhi kama hii najua unaelewa maana ya streetsπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ss kwn nawasingizia?[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji3545][emoji3545][emoji1139][emoji117][emoji2781][emoji2781]
Wanakupa vitu recent unaleta vitu vya kitambo, una shida!?
 
Evidence ya nini!!? Yaani ni mpe taalifa, tena ni mpe evidence ni fala!? Evidence katafute mwenyewe!!!!

Halafu kwa taalifa yako, Mombasa barabara nzuri tu ulivyoambiwa.
View attachment 1700302View attachment 1700303
Mwenzetu bado anatafuta one way street mombas km ile ya mwanza
Hatoki mtu leo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kwani mwanza hakuna roads ??πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡




Mm nataka uniletee mombasa streets zenye hadhi kama hii najua unaelewa maana ya streetsπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…