Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa haina one stree way[emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo nimecheka sana
Hunishindi mm nilivyocheka kuhusi best one way street ya mwanza eti ipatikane mombasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hunishindi mm nilivyocheka kuhusi best one way street ya mwanza eti ipatikane mombasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 mombasa haina one street way enhh Mungu tupe umri
 
Umekosa [emoji3][emoji3][emoji3] tafuta siku ukipta nitag
Mbona unakimbia..
Mwezi huu, Mungu atawaepushia lkn km kuna mengine basi mwezi huu kuna mkulu kuyumba tena, momoja tayari keshatangulia juzi tu
 
Mbona unakimbia..
Mwezi huu, Mungu atawaepushia lkn km kuna mengine basi mwezi huu kuna mkulu kuyumba tena, momoja tayari keshatangulia juzi tu
Huna evidence so nikimbie wapi??

mombasa haina one way strees🤣🤣👇
 
Umri ushapewa na unaupoteza jf[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…