Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Manganese ipo ya kutosha Tanzania. Kenya wapo wanakodoa macho tu. Wanatakiwa wajue Tanzania kwa sasa tunajua thamani yetu.
USES OF MANGANESE
 
Neodymium ipo nyingi tu ya kumwaga Tanzania. Tunaweza kuanza Electronic devices Manufacturing hapa hapa Tanzania. Tuachane na wakenya waendelee na ukabila wao.
USES OF NEODYMIUM
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

mtafanya wajiue.
 
Gadolinium inapatikana Tanzania. Hapa tunaweza kutengeneza Data Centers zetu sisi wenyewe
Although China is the main producing nation, gadolinium is also found in countries such as the USA, Brazil, India, Australia, Greenland and Tanzania.

USES OF GADOLINIUM
 
Neodymium ipo nyingi tu ya kumwaga Tanzania. Tunaweza kuanza Electronic devices Manufacturing hapa hapa Tanzania. Tuachane na wakenya waendelee na ukabila wao.

USES OF NEODYMIUM
Kuna mkunya eti bila aibu anasema Kenya ni tajiri kuliko Tz, anaongopewa na GDP ushuzi hahahahaaa hajui km GDP ni namba tu zinabadilika mda wwte km tulivyoamua kuibadili.

Leo umewaonesha japo theluthi ya utajiri wa Tz, na nadhani now watakuwa wanajua kwnn investors hawaishiwi safari za Chato [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sikujua kama tuna madini ya aina nyingi hivyo, Kwanini bado uchumi wetu mdogo ilihali tuna mali nyingi namna hiyo ilo ndio swali nilikua najiuliza

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sababu zipo nyingi sana.
1. Mwalimu Nyerere alijua uwepo ma madini yote hayo. Lakini yasingeweza kutusadia kama tusingekuwa imara kisiasa.

2. Alitaka watanzania wapate elimu kwanza ndipo waweze kuchimba madini hayo.

3. Tanzania miaka ya 80s iliwekewa vikwazo tukawa tumejikita katika uzalishaji wa chakula cha kututosha.

4. Tulianza kuchimba madini kipindi cha awamu ya tatu. Mikataba mibovu iliingiwa.

Kwahiyo sasa hivi tupo na utashi na uelewa tunajua thamani ya madini hayo. Ndio maana imetungwa sheria ya madini kwa lengo la kuinufaisha Tanzania.
 
Ss mkuu haujuwi shida ilikuwa wapi? Huoni mabadiliko na tunapoelekea? Mbn umeuliza swali hili mkuu.
Mkuu ilo swali linashida gani?Hao waliotuchelesha mbona magereza hazijajaa kwann tusiwape Adhabu
 
Sikujua kama tuna madini ya aina nyingi hivyo, Kwanini bado uchumi wetu mdogo ilihali tuna mali nyingi namna hiyo ilo ndio swali nilikua najiuliza

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Madini mengi yalikuwa hayajachimbwa kutokana na sababu nyingi mojawapo kukosa ubunifu wa kuvutia wawekezaji lkn pia hata yale ambayo tulikuwa tunachimba viongozi waliingia mikataba ya kibinafsi isiyo na faida kwa taifa, hauoni kwa ss tumeanza kurekebisha sheria na tayari tumeanza kuona matunda yake?

Huoni tunatekeleza miradi mikubwa kwa pesa za ndani? Hii haiwezekani kwa nchi isiyo na mali za kutosha km cc, huoni jirani anavyopata tabu kutekeleza miradi bila mikopo? Miradi yote ni mikopo wanasingizia investors kumbe pesa hakuna, hakuna nchi isiyopenda kufanya miradi kwa pesa yake but shida ni pesa mkuu.
 
Nimekusoma Apo! !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…