Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aaah safi Sana kama mliishughulikia hongera Sana[emoji122]
Top 10 tuko., hapa sijawaikataa hata siku moja., All the leading and big African economies zipo kwenye top 10., Nigeria, SA, Kenya, Tz, Ethiopia., Lakini nyiny ni miongoni mwa tatu bora with the most digits[emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Ww sio tu mjing ila kilaza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...yet feel proud what a fool[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1693507View attachment 1693508
Nionyeshe hapo Zambia?., ile post napingana nayo imetaja Zambia eti masikini wa kutupwa., ata kuliko Burundi?. ama haukujua unachochqngia ulirukia tu Kama kawaida...,
 
Not for you shebby01., was responding to Justinr..,
 
So wamesingiziwa au sio na hawashtaki au sio unajua kosa lake au 🤣🤣🤣👇👇👇 kwamba world bank wamesingiziwa na wamekaa kimya 😅😅😅😅 kilaza wa aina yake
 
Umeumia sana mwenzako kajieleza vizuri with facts[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23] ukweli huwa inakutesa sana! bro vumilia tu ama uhame jf[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Kila kitu mumeonewa na hawa waliosingiziwa mbona hawashtaki sasa🤣🤣👇👇👇👇

 
Kwamba world bank wamesingiziwa na media kutoka kenya na wamekaa kimya world bank au sio hawajaenda kushtaki🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇

 
Yosef Festo yani word bank wamezushiwa na media kutoka kenya au sio😅😅😅😅😅
 
Yani hata hao world bank inamaana wamezushiwa na wamekaa kimya 🤣🤣🤣 yani hawa watu ni mafala kwei na taarifa zote ni kutoka kenya
 
Sasa world bank wamezushiwa na media kutoka kenya au????🤣🤣🤣👇👇👇👇


 
Wakenya wote tunaomba mpinge kwa hoja hii, tunajua kwamba hii ndiyo habari inayokuja kuwaumiza zaidi, subiri muone mtakavyokimbia humu ndani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maneno ya kwenye karatasi waje kwa ground waone Hali halisi🙂na nyie wenye kuishi below a dollar mko wapi?
 
Maneno ya kwenye karatasi waje kwa ground waone Hali halisi🙂na nyie wenye kuishi below a dollar mko wapi?
Mwenye kutoa hizo takwimu atakua mkenya🙂au tayari beberu amekula rushwa kuichafulia tz yetu jina🙂
 
Nyie wakenya mnaojidai mko well developed wakati asilimia kubwa hamwezi hata Ku afford 3 meals per day🙂wakati Sisi tunapiga not just 3 meals but heavy and nutritious meals

Mtu mwenye hela na maskini Tanzania wote wanashiba🙂
Example ya breakfast ya mtu WA kawaida
Miogo,half cake,vitumbua,viazi vitamu,Karanga,makande,sambusa etc vitu maskini kwetu anakutana navyo sasa wewe niambie maskini wenu anakula breakfast ipi tuanzie hapo🙂
Lunch mboga za majani zipo kibao na tena sisi wakulima mwenyez mungu katupa ardhi nzuri yenye rutuba,mfano Chinese,matembele nyanya chungu,nswalu kisamvu etc maana mboga zipo Aina nyingi sana,mgagani mlenda,dagaa,samaki wa Aina wote ni affordable maskini wa Kenya anakula nini?🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…