Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CBD should look like a CBD jameni.....hii ya Tanzania ya kila mahali yenye iko na maghorofa inaitwa CBD yachanganya sana.......anyway magorofa Dar ziko chache sana.
 
CBD should look like a CBD jameni.....hii ya Tanzania ya kila mahali yenye iko na maghorofa inaitwa CBD yachanganya sana.......anyway magorofa Dar ziko chache sana.
Hebu rudia magorofa dar iko nini..............
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€safari hii hamuna raha
 
Ukubwa wa kariakoo ni sawa na mombasa
113 km sq


hehehe. ....Mombasa has a GDP of 13 billion dollars.
....Dar nayo inacheza hapo 10.....kwanza Port ya Mombasa looks very big compared na hiyo ya Dar......Dar ndio iko na plans ya ku expand port yao. ...Meanwhile.....The Construction of the third berth terminal at the Mombasa port is ongoing
 
Rudi kwenye point kariakoo inaukubwa sawa na mombasa 113 km sqπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sio iko kwenye plan kazi washaanza wachina
Hakuna kulala ni kazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…