Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahhah Tony254 hii ndio laana
Wewe huwa unaamka asubuhi unakunywa chai na kuingia mara moja kwenye tweeter feeds za Kenya. Cha kushangaza ni kwamba hakuna Mkenya hata mmoja anayejishughulisha na tweeter feeds za Tanzania. Yaani us Kenyans don't give a f*ck about what goes on in Tanzania. Nyinyi ndio mko interested na mambo yetu.
 
Ungekua mjanja heri ungefuta the comments Nadal ya kuziedit ukaongeza simba 254 mbele 😛 hadi iko na line ya sleep time Aii hehe wewe umenicheza but wacha nimalize yangu pole pole tu hata mimi nitakuwekea the sleep too
 
Hujaona au hutaki kuona? halafu hua mnajinadi tu hamna kitu. Kuna ndugu yako moja alitaka kuintegrate web yake kwenye gateway yangu nkakuta kumbe hajui hata api ni nini ndio akaanza kugoogle
Tanzania haijulikani kwenye mambo ya IT. Kenya ndio maarufu kwenye fani hii.
 
nimesema automatic door si revolvingh too namaanisha zinazofunguka zenyewe kwa kutumia sensor!
 
Nimeshindwa wapi hehe me unlike you niandike from scratch nakuimalizia tu sahii hadi nitakutumia code sahii small simple and workable
Swali langu umeshindwa kulifanya. Leta swali lolote C# nikufanyie sasa hivi.
 
Mwaka jana nlikua najifunza dotnet core nikastruggle sana kwenye api ya db (mimi napenda/natumia ubuntu) ila nlipofika kwenye controller ilikua mteremko tu since vitu vingi kama java
 
Sio wewe jana ulisema wakenya ndio wanaongoza kutaza na kufuatilia mziki wa Tanzania? 😔
 
nimesema automatic door si revolvingh too namaanisha zinazofunguka zenyewe kwa kutumia sensor!
Sensor ni elfu moja tu ya kenya gears za kufungua mlango hata za jua kali unaeza teneza so honestly unataka kuuliza kama automatic doors ziko kenya???? Kama kuna hadi gates zinazotumia camera kusoma number plate ndo zifunguke????
 
Oya ninakusubili swali lako. Nina mambo mengi ya kufanya. Nataka ujue kuwa wewe bado ni mwanafunzi mdogo sana.
 
nimesema automatic door si revolvingh too namaanisha zinazofunguka zenyewe kwa kutumia sensor!
Kama ni automatic tu unataka basi hizo haziwezi kosa kwenye new terminal ya Jkia japo sijafika huko.
 
Tatizo nn kwani kama ameamua ku-deal na madeni ya Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…