Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninakupatie dakika 10.
Achana naye huyu, aliandika vi statements vyake vya ki-noob eti sum = sum + i wewe ukamsahihisha kwa kuandika sum += i (more efficient) halafu anasema umekosea. Nikamuuliza kosa liko wapi? Kimya. Nikamuuliza tena unaelewa kwa nini mwenzako katumia sum += i badala ya hiyo binary operator yako? Kimya.
 
Shutting down a windows ×32 pc
 
Umechanganya mimi ndiye niliandika sum+=i mwenzenu akakataa eti ni mbovu fwata thread vizuri wacha chuku
 
Mbona unachukua code zangu unasema mwezako ndiye kuandika hivo???? Bila hayaHutu yeye akipinga

 

Next time usichanganyikiwe kuwa rada
 
Chamoto wewe nawe umetokea wapi? Wewe nawe ni programmer? Kwani JF kila mtu ni programmer? Duh. Na watu wa fani zingine wako wapi? Watu wa uchumi na biashara wako wapi?
 
Stupid. Jaribu kuandika hizo code.
Kama itakuletea jibu sawa na hapo juu.
Kumbe dogo hujui programming.
Venus Star hebu soma comment yako ya awali hapa juu. Wewe pia ulisema kwamba code ya Simba 254 ina makosa. Yeye pia alisema yako ina makosa. Kumbe code zenu zilikuwa right. Mumetumia mbinu tofauti ila output ni the same. Nyinyi wawili ni programmers maana mumetumia mbinu tofauti kupata the same output. Sasa wacha debate iishe.
Tatizo lako ni nini hasa!? Wewe ndiye ulisema nimekosea.
Usikalili.
Two hours unashugulikia kitu kidogo tu.
Nikikupatia kitu kigumu utaweza!?
Najua sasa hivi upo kwenye computer. Nataka kukupatia kitu complex kidogo. Upo tayari!?


Hapa chini venus ulikuwa unasema kwamba code ya Simba 254 ina makosa lakini sio kweli maana output ya Simba ni sawa na yako. Sio lazima kila programmer atumie mbinu sawa na yako. Hio ndio maana inaitwa programming language maana kila programmer ana language yake, njia na mbinu zake za kuandika code. Wewe unavyotumia lugha fulani na maneno unayoyatumia sio lazima ziwe sawa na meneno anayoyatumia. Usilazimishe lugha na mbinu kufanana.
Hujui programming wewe. Unajua maana ya i++
Hahaha!!
Kwa Idea yako first loop sum itakuwa 1
But inatakiwa first loop sum iwe 0.

Go back to school bro.
Finally, Venus Star nimekubali kwamba wewe ni programmer. Sasa nataka uwache hio tabia ya kujifanya kwamba umesomea kila kitu. Jikite kwenye programming tu. Mambo ya geography, sijui cosmology wachia wengine. Wewe tufunze mambo ya programming.
 
Wewe tueleze tofauti ya hizo statements mbili ni gani.
 
Hahahaha yaani unataka mtu atoweke kusikojulikana 😅😅😅
 
Muhurumieni jamani, mnaua nzi kwa ak47
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…