Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣 Hivi we jamaa umesoma .? Na Kama umesoma mwalimu wako Nani.? Unajiskia upuuzi wako.? free trade na US 😂😂 alaf mnategemea nini kama sio kuendelea kuwa maskini .?
 
Mm nakwambia addis ni sehemu ndogo sana kwanza city area tu ni 520km sq na ni sehemu ndogo sana iliojengeka addis usitufanye wageni humu ndani kenge wewe
Nani alikudanganya uzuri wa city Ni size??sa Kama hio dar imejazwa na uswazi unawasaidia nini kwa size😳🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…