Hawa wahurumie tu wana hali mbaya sana kwenye upande wa elimuKiwinda Secondary School Kenya
Hapa naweka best school za Government.
Nyingi siyo za Serikali.
View attachment 1670137View attachment 1670138
Mbona unalialia jomba, na wewe kachat na hao scannia orig-y ulete tuoneHuyo jamaa ni kilaza sana yaani scania ile brand kubwa yenye thamani ya millions of dollars halafu iwe na assemble plant kama kibanda ya fundi sofa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
..yan plant ya scania inazidiwa ubora na ile garage ya pale vingunguti,nyerere road
Dah!!
Kusoma ndio shida ama? In 2016 Kenya had 9,900 Secondary schools and 33,000 Primary Schools. Tanzania on the other hand had 4,800 Secondary schools and 17,000 Primary Schools in 2018🤣😂😂😂👇👇Hiki kipeperushi umekilokota wapi? Na mbona hujaweka evidence upande wenu? 🤣
Hahahaha wewe jamaa unashida mno.Kusoma ndio shida ama? In 2016 Kenya had 9,900 Secondary schools and 33,000 Primary Schools. Tanzania on the other hand had 4,800 Secondary schools and 17,000 Primary Schools in 2018🤣😂😂😂👇👇
View attachment 1670146
Tukitaka vichekesho kama hivi tuna Google wapi? 🤔🙂Kusoma ndio shida ama? In 2016 Kenya had 9,900 Secondary schools and 33,000 Primary Schools. Tanzania on the other hand had 4,800 Secondary schools and 17,000 Primary Schools in 2018🤣😂😂😂👇👇
View attachment 1670146
Anazuga uyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha battle mmeitaka wenyewe na mkakimbia wenyewe [emoji316][emoji316]
Mmeniacha na lundo la shule hapa, sijui unanishaurije? [emoji316][emoji316][emoji316]
Kashaanza kuchanganyikiwa mumzoee tu 🤣🤣🤣🤣 kwa sisi tunaomjua hata hua hatusumbuiHiki kipeperushi umekilokota wapi? Na mbona hujaweka evidence upande wenu? 🤣
Ngj aje na hoja ya shule af tuanze upya ila hawezi kuirudia hii battle [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Leo nilikimbia hiki kijiwe pambe kidogo ila me bado sijaridhika na battle ya shule kukimbiwa kizembe vile [emoji28][emoji28][emoji28] me bado nna jambo langu
Ila tofaut yao inakuja kwenye quality mturuki akiweka kitu anaweka kitu under european standards yani kitu unasahau kabisaKitu nachopendea Chinese companies wapo faster sana na huyu CCECC kashakua kama mwenyeji, ana miradi chungu mzima hata daraja la Magufuli Mwanza pia ni yeye na zitakua companies 2, mobilization na machineries recruitment haitompa tabu sababu wanavyo vya kutosha tofauti na mturuki
Hv Wakenya mnajisikiaje mkiona mambo km haya wkt shuleni mliaminishwa mnaizidi Tz [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji86][emoji87]Chuo cha Uongozi Kibaha. View attachment 1670095
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sasa tumetoka job. Ngoja tuwaginge kidogo.
Ngoja mimi nionesha za Kenya na wewe uoneshe za TZ tushindane. Maana wakenya wameogopa.
Mimi nitataja County na wewe utataja mkoa.
Lazima shule ziwe za serikali.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo jamaa ni kilaza sana yaani scania ile brand kubwa yenye thamani ya millions of dollars halafu iwe na assemble plant kama kibanda ya fundi sofa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
..yan plant ya scania inazidiwa ubora na ile garage ya pale vingunguti,nyerere road