Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umaskini umechora Dar is slum mzima...
.halafu ni wajanja.....wanakataa kuzipea jina ndio zisitambulike. ...ama unapata slum ama shack ya kiswahili next to towers and hotels.mchanganyiko maalum. ......
tujifunze hapa kwanza


tuangalie slum area na city center area tuone sasa
 
ushakunywa gongo tiyar maana pesa ya bia hauna unakuja hapa na pumba
 
yani safari hii dar imewakunja ipasavyo hamuna raha kulala hamulali wengine wanafungua accounts mpya kila siku
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hili eneo huniacha na mshituko,kwa hivo brt ilitengenezawa mafukala kama akina anaeli,kandoda na akina ichoy boy
Ni Kama mji mzima ni hoi....kwanza vile kuna joto Dar si mji huo una uvundo wa mzoga
 
Izo zinahesibika..pia githurai,ruai si slums but hizi slums ni uncountable
sijakuekea uhesabu slums nimekuokea uone area ya slums na area ya city center
pitia tena alafu uniambia area ya city center kama inavuka 90 km sq


alaf ukitaka kuhesabu slums za nairobi hizi hapa

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…