Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The only sport Tanzania is good at[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

View attachment 1669655View attachment 1669657
Juzi nimekutana na mzee mmoja wa kikurya akaniambia yeye alisoma Kenya primary, anakuambia yn Kenya uchawi nje nje yn hata darasani Mkenya ukimpita akigundua ww ni mgeni anakuroga.

Hata kwenye mpira hvyo hvyo wanaroga mnoo, jamaa anasema yeye alikuwa anacheza sn mpira ila baada ya kuanza kuchukua namba akarogwa akawa akiingia uwanjani tu hawezi hata kutembea.

Nilimuuliza kwn Kenya kuna uchawi wa kiasi hicho akaniambia hadhani km Afrika mashariki hii kuna nchi wanaamini uchawi km Kenya, anasema Kenya sio mchezo kwanza wanaroho mby mno, pili wachawi sn.

Dah aisee hiyo kitu ndio ikanifanya nisitake kuisikia Kenya masikioni mwangu, naiogopa sn hyo nchi. Ni juzi tu hapa yule mzee alinipa hizo habari, ss huyu jamaa jana ndo akanikumbusha.

Kweli hawa hawakukosea [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Sasa ww unatetea mwanamke kuonesha uchi wake ndio maana badi mumelaaniwa nyinyi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Who is more covered traditional African women before independence,women in bikini on beaches or women athletes.My take is that youโ€™re a backward country or all men in TZ have been having wet dreams since seeing GIGY Photos,are you all virgins????
 
Facebook admin?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]. Take this from a credible institute (PEW RESEARCH CENTER)[emoji116][emoji116][emoji116]


Mbn unanikot mara 10 umepanic tayari [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji205]
 
We all where the headquarters of witchcraft is located in this world๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


 
Mbn unanikot mara 10 umepanic tayari [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji205]
Tanzania is the headquarters of witchcraft in the universe ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡

 
Why Tanzania is the most satanic nation in the world[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]

View attachment 1669663
Na bado mabalaa hayaji Tz, angalia ss alafu tuambie ni nchi gani ni the most satanic btn Kunyaland and Tz.

Corona
Pest invasion
Corruption
Cartels
Hunger & famine
Slums
Planes grounding
Superstitious
Tribalism
Nepotism etc, vyote vipo nchi moja alafu bado wanataka na wao wawe nchi ya ahadi km Tz [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Nyie wote wapuuzi tu sio DAR wala Nairobi mkajifunze huko West Africa
Nimependa content ya video ila siyo comment yako ambayo si nzuri sana kwa sababu naamini hata Senegal kuna vitu vingi tu havipo ila Kenya au Tanzania vipo. Kwa hiyo usigeneralize kwa kitu kimoja tu na kuona kama nchi nyingine hazina kitu au vitu vya maana.
 
Tanzania is the headquarters of witchcraft in the universe [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji116]

View attachment 1669687
We all where the headquarters of witchcraft is located in this world[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


View attachment 1669682View attachment 1669683View attachment 1669684View attachment 1669685View attachment 1669686
Kapanic [emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
92% of Tanzanians are witches. Najua huwezi kosa kupatikana in that group๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ