Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawapendi kusikia mabaya ya kwao, tafadhali avoid such news, just tickle their ego, wafurahishe tu, coz ukweli utabaki kua ukweli tu ata wapige kelele hadi sauti zifike mbinguni.😂😂
Kwanza umeona venye hiyo shule inafanana?🤣🤣🤣😂
 
It's a busy phone. What do you expect?
Busy manaake nn, sisi wenyewe simu zetu zipo busy mara kumi ya kwako lkn zinakaa na chaji, hebu kwnz unamiliki simu gn wewe, cz simu hiyo nakuona nayo tangu mwaka juzi.

Unawezaje kutunza simu namna hii [emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji204][emoji204][emoji87][emoji87][emoji86][emoji86]
 
Nioneshe assembly plant ya scania kenya according to scania assembly plant iko moja africa nayenyewe ni south africa sasa naomba unioneshe wapi nyunyu muna assemble plant ya scania ili mm leo nifunge acc jamii forum 🤣🤣🤣🤣
 
Hee hili nalo bwanyenye la wapi hili ona [emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji204][emoji204][emoji87][emoji87][emoji86][emoji86]
 
Tz ipo? tuanzie hapo kwanza tukiendelea...,
Tz kuna bus body builder ziko pamoja na scania kama ile ya master kenya sasa nitaftie scania plant assembly kenya nzima ukipata nitag 🤣🤣🤣 naona wamekuachia bomu ufe nalo
 
Hee hili nalo bwanyenye la wapi hili ona [emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji204][emoji204][emoji87][emoji87][emoji86][emoji86]
Wacha leo limekabidhiwa bomu life nalo 🤣🤣
 
Kairuki ndo PM wa wapi? Scania watajenga plant ya kwanza ya ku assemble gari zao hapa Tanzania cz ndipo wanapopata faida, km unavyoona nguo za mtumba zilivyo na soko Kenya na ndiyo maana mnaletewa mabalo kwa mabalo basi tukija kwenye sekta ya trucks no one can match Tz [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji86][emoji86]
 
Tz kuna bus body builder ziko pamoja na scania kama ile ya master kenya sasa nitaftie scania plant assembly kenya nzima ukipata nitag 🤣🤣🤣 naona wamekuachia bomu ufe nalo
How did this argument start?, I like facts., explain kiasi...what is your arguments?
 
...angalia ignorance on steroids😂😂😂
 
Who is a Tanzanian? A Tanzanian is a person who likes to deceive himself with lies and when told the truth he become bitter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji116]

Asante kwa taarifa, kumbe ni kigoma nilidhani uhaba Tz nzima, basi tutalimaliza hilo haraka iwezekanavyo.
 
Tz kuna bus body builder ziko pamoja na scania kama ile ya master kenya sasa nitaftie scania plant assembly kenya nzima ukipata nitag 🤣🤣🤣 naona wamekuachia bomu ufe nalo
Not in Africa...,next
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…