Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna sehemu utapata kenya kuna plant ya scania mpaka yesu anashuka[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
View attachment 1666709
Sasa unaongelea Kenya wakati umeweka picha ya South Africa? Ulitaka wataje Kenya kwa hiyo screenshot?[emoji23][emoji23][emoji23] Alafu mbona sijaona the word "assembly" venye ulikuwa unataka kuona kwa sites za Kenya?[emoji23][emoji23]
 
Tafuta nyingine sasa udanganye 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇👇 mamaeee eti kenya kuna plant ya scania 😅😅😅😅😅😅
 
Sasa unaongelea Kenya wakati umeweka picha ya South Africa? Ulitaka wataje Kenya kwa hiyo screenshot?[emoji23][emoji23][emoji23] Alafu mbona sijaona the word "assembly" venye ulikuwa unataka kuona kwa sites za Kenya?[emoji23][emoji23]
Mnatoa lini BJ-50 nine kununua hahaha
 
Hata kusoma pia hujui. Kweli sikukosea kukuita class dropout[emoji23][emoji23][emoji23]. Wamesema the obvious is the strands alafu ikawa na full stop. Do you know the meaning of full stop?[emoji23][emoji23][emoji23] It means that you have reached the end of what you were saying and now you want to start a new point. The length of the nucleotides are not on the same point with the number of strands because the two points are separated by full stop.Are we together class six dropout?.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wenye scania wanakwambia plant iko south africa pekee anakuja fala anakwambia master fabricator ni plant ya scania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana nimekutana na vilaza ila sijawah kukutana na kilaza wa sampuli yako Teargass 😅😅😅😅😅
 
Sisi nye nye nye tuna plant ya scania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wenye nayo 🤣🤣👇👇
 
Ebu nieleze bila presha ulichoandika maana naona kama unakubaliana na sisi.
Msaidie mwenzako naona kashakimbia tayar muokoe sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sisi nye nye nye malizia .............
 
Ebu tuonyeshe penye wasema kuwa plant iko South Africa "PEKEE" underline the word pekee[emoji23][emoji23]. Alafu nimeona umeitisha picha zingine. This is one of trucks bado iko nje waiting to be assembled[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1666724
 
Bado unataka picha zingine?[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…