Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba kenya ina assemble scania truck mm hutanidanganya kama ni body za scania zinafanyika kila aina ila usitudanganye assemblyπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Maneno mengi alaf zero brain [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]

anaingia google kisha anadownload picha na kuna picha kibao kaziokota from outside countries......kisha ana atouch kizembe[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona unasumbuana na hawa watu hivi? Wanatamani wawe nazo but they can't. That's their main problem
Anasumbua au anajichoma vidole πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Hili ni bus la kampuni kenya wamenunua kutoa dar coach πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1666100View attachment 1666101
Ndio kenyatta alivowadanganya hvo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 1666099
Maneno mengi alaf zero brain πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…