Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes ni kitu cha ajabu because Kenya is the first country in East Africa to make her own rifles, alafu hamna uwezo wa kutengeneza hata mshale[emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 1665130
Ona unavyojiaibisha, unaongelea bunduki wkt wenzenu tupo level ya China [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fikeni hapa kwanza View attachment 1665227
 
Are you manufacturing or assembling? Ondoa ukichaa hapa, unajua namna ya kumake rifle wewe? Ila wakenya
We manufacture. The rifle is Kenyan made right from the design and raw materials. Everything was done locally. Najua mnaoumia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
 
Ona unavyojiaibisha, unaongelea bunduki wkt wenzenu tupo level ya China [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hii ni kifaru ama toy?[emoji23][emoji23][emoji23] Is it even functioning? Where was it tested? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Najua inakuuma sn ukiona we are ahead of you as far as technology is concerned [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji116][emoji116]
 
Inafurahisha sana mkuu.
Nini maana ya ushawishi wa JPM na Tanzania?

Fikiria ni juzi tu Rais Xi kampigia JPM simu, JPM alikua hana hili wala lile kuhusu China hasa ukizingatia alivyoterminate Bagamoyo port, SGR project, mchuchuma projects na nyingine harshly

Lakini still Rais Xi alimpigia simu JPM na JPM akaingiza vocals zake kuhusu projects zake anazotaka tushirikiane na China lakini sio kwa masharti kama ya Bagamoyo, SGR, etc

Mara paap Rais Xi kamuelewa JPM and within no time Rais Xi faster anamtuma highest envoy kutekeleza mazungumzo yao

JPM hajapiga simu yeye, hajawahi hata kukanyaga China lakini kuna kanchi fulani kalipeleka serikali nzima na bunge lote China kumuomboleza wamaliziwe mkopo wa SGR na wakafukuzwa kama mbwa bila thumni 😂😂😂😂


Ila JPM katulia zake tu Chamwino lakini China inamfuata yenyewe, huu ndio ushawishi wa JPM na Tanzania

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…