Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz imekomboa nchi nyingi hapa Africa na ndiyo maana huwa nacheka sn eti watu wakijaribu kumuweka Mandela level moja na Nyerere it's totally absurd.
Mumewakomboa akina nani km tanzania[emoji1787][emoji1787]
Baada ya kuwakomboa mkawapa uhuru mwaka gani
 
Mumewakomboa akina nani km tanzania[emoji1787][emoji1787]
Baada ya kuwakomboa mkawapa uhuru mwaka gani
Hehehehee ww huwa huna time ya kusoma hata nikikuwekea article hapa utanijibu saa hyo hyo, hupendi kusoma kabisa wewe [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hehehehee ww huwa huna time ya kusoma hata nikikuwekea article hapa utanijibu saa hyo hyo, hupendi kusoma kabisa wewe [emoji3][emoji3][emoji3]
Unakwepa[emoji1787][emoji1787]
Mumemkomboa nani, nionyeshe hata nchi moja
 
Baba mnafiki wa kuunganisha kisa ili afanikishe ndoto yake ya kutengeza kabila moja kuu..
Ndio ambalo mpka sasa linakua tena kimabavu
Hahahaaaa ona anavyokurupuka huyu, haya niambie kabila gn hilo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaaaa ona anavyokurupuka huyu, haya niambie kabila gn hilo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yani inaitwa changa la macho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani muungano alafu ukianza kujielewa ukitoka unapigwa vita vikali...

Leo utelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…