Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, hii isave Vizuri 😂 😂 😂 😂 Tutatumia sana mpka mwakani

 
We wa wapi?
Mbona unaongea vitu vipya?
Eti Kenya itupite comedy?
Kuna mkenya yupi anajua kuigiza comedy?
Accent yao tu wakiongea hata hamu ya kucheka inaisha
Naona umepigwa nyumbani[emoji23][emoji23]
 
We wa wapi?
Mbona unaongea vitu vipya?
Eti Kenya itupite comedy?
Kuna mkenya yupi anajua kuigiza comedy?
Accent yao tu wakiongea hata hamu ya kucheka inaisha
Yani hawachekeshi kabisa serious yn, na jinc wanavyoongea na kutamka maneno yao hovyo kabisa, mm kwa hapa EA ukitoa wabongo labda teacher Mpamile wa Uganda, but hawa wasenge wa Kenya hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…