Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna siku tuliambiwa wanaulinzi bora👇👇 angalia vile wajir ilivochakaa

 
Naona wana option mbili kati ya mwanza na kunjoin na kenya i think wata join na Kenya to Mombasa..but lets see...kushusha na kupakia mizigo kutoka portbell naona ina layover time kubwa ..njia nzuri ilikuwa reli kupita Kagera kwenda Direct UG but that Cost will be high
 
Hapa me siwaoneshi mradi bali muangalie tandale japo kwa mbali kidogo ila ukiangalia unaweza kuona bati za nyumba jirani na mradi.
Iyo ni tandale mnaiitaga slum embu oneni hapo kuna slum inanyumba kama izo duniani?





 
wewe ni bwege wa wapi kutojua kuna wagon ferries kuvusha cargo trains? Au ulikimbia vipindi vya lugha?
 
Leo Ubalozi kwa kushirikiana na Makampuni (17) ya kusafirisha Watalii wa daraja la juu (High-end tourists) ya China umezindua programu maalum ya "Post-card" kwa ajili ya kutangaza utalii wa Tanzania katika soko la China. Miongoni mwa makampuni hayo ilikuwepoChina International Travel Services (CITS) inayoongoza katika usafirishaji wa watalii nje ya Nchi.

Kupitia pgm hiyo, "post-cards" zimesainiwa na Balozi na Mwakilishi wa Ethiopian Airlines na kesho zitapelekwa Tanzania na Shirika hilo ambapo wawakilishi wa Makampuni hayo (17) watapanda Mlima Kilimanjaro hadi kufikia kileleni tarehe 1 Januari 2021 na kupiga picha na "post-cards" hizo

Post-cards hizo zitarejeshwa nchini China na kugawiwa kwa wateja (premiere customers) 4000 wa Makampuni hayo (17) wakati wa Mwaka Mpya wa Kichina utakaoadhimishwa kuanzia tarehe 11-17 Februari 2021.

Programu hiyo mbali na kuitangaza nchi yetu katika soko la China, itawezesha Makampuni ya Utalii yanayoshiriki kuonesha upendo na kujali wateja wao ambao katika kipindi cha Mwaka 2020 hawajaweza kusafiri nje ya China kwasababu ya janga la COVID19. Aidha, kitendo cha "post-card" kuweza kupandishwa katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro siku ya tarehe 1 Januari 2021 kitatoa matumaini kwa wateja wao kwamba mwaka mpya utakuwa ni wa baraka na wataweza kufika kilele cha matarajio na mipango yao kwa mwaka 2021 ikiwa ni pamoja na kusafiri nje ya nchi baada ya kukaa ndani mwaka mzima.
 

 
wewe ni bwege wa wapi kutojua kuna wagon ferries kuvusha cargo trains? Au ulikimbia vipindi vya lugha?
Cha kwanza mm sio bwege... Na pia inaokena una panic ovyo na unashida kufikiri vizuri
Cha pili nimekwambia kwamba loading and unloading time ni disadvantegous kwa upande wa Tz...compared na Mombasa..ambapo reli inaenda straight

So ili Tz kuwa na advantage hio..i see a direct line thtough Geita to Kagera then Uganda will be more beneficial kwetu ili mzgo ukishapakiwa Uganda unafika Dar direct
 
Hii standard gauge bana. Naona mpka leo phase 3, phase 4,phase 5 hazijapewa mkandarasi na ujenzi wenywe ndo uo unachukua miaka kwa vyovyote vile kukamilika itakua zaidi ya 2026. So swali ni kwamba uganda wataweza kusubiria hii yetu mpka ikamilike waunge ya kwao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…