Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi nye nye nye tuna best health care system alf pesa ya mishahara hawana pesa ya vifaa tiba kwa madktari hawana πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
tangu lini GTC hotel imefika 37 🀣🀣 ni 35 mzee🀣 unaongeza figure kama vile unakula githeri

tangu lini CBk imefika 30 🀣🀣🀣🀣🀣 ni 27f


Tangu lini GTC residential imefika 33🀣🀣🀣

Tangu lini GTC office imefika 43 insted of 42 au ulipanda juu kuingeza paaπŸ˜…


 
Nchi imejengwa within 13yrs ila inawatoa jasho hahahahahha 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 wakat wao miak 50 wanajenga nchi huku tanzania ikihangaikia nchi zingine za africa uhuru wao

yani kwa miaka 50 wakijenga nchi tuliwaza mayb watakua sawa na europe kumbe hata malawi ina nafuuuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…