Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wah.....Kenya we are under seige. ..tumezungukwa proper....hahaha
hahahaha
kwa hiyo nyinyi mpo above russia?..nimecheka sana aisee....wazungu wa UN wanajua sana kucheza na akili za wakenya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha kusema yupo Kenya Bali sema alikuwa Kenya. Usitufanye mafala kwa kutuletea habari za nyumba ukazifanya za Leo. Sisi wanamuziki wanakuja sana ilaatutaji kwani wanakuja kikazi. Yupo ludacris,50cent,Baster rymes, TI,Joe,Eve , Rick Ross na wengine wengi lakini atusemi cause wanakuja kuchota pesa huku. Ata Alikiba kaja kuchota pesa Kenya
 

You cant See russia is an economy in transition category after the developed countries category!!!!...umelewa ama ni tu bad luck in understanding simple things. Mchunge Somalia isiwapite LDC people
 
Coke studio Africa ni kuchota pesa?????....unajua hawezi kuja LDC na hamna pesa.....wewe nlikuambia unaaimbisha Tz kwa ujinga wako
 
You cant See russia is an economy in transition category after the developed countries category!!!!...umelewa ama ni tu bad luck in understanding simple things. Mchunge Somalia isiwapite LDC people
This kadoda guy need specs ...ako na shida kubwa
 
Hii Dar imeshindia nini Mombasa honestly apart of the few towers they are putting up?Mombasa even looks better...more developed and sexier
 
Kadoda,icho,tuusan and company [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] <br />[quote uid=427015 name="COLLOH-MZII RELOADED" post=21796969]Nairobi(cbd+upper hill on the background) ichoboy and company need I need only one dar photo equivalent to any of this <br /> [/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…