Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Three Interchange mzee inakua na ngazi mbili kwenda juuu 🤣🤣😅😅😅👇👇
 
Pangani mwanzo haikua three level walipoona ubungo imekamilika sasa waka force pangani nayo iitwe three level ili wasishindwe hawa watu wa aina gani [emoji1787][emoji1787]
Sasa hizi articles ziliandikwa 2020?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Aisee J.F inafurahisha sana hasa ukikutana na watu wajuaji kama ww kwaiyo pedestrian bridge ni tofauti na footbridge?? Ivi hawa ndo akenya mnaosema wanajua kingereza hata
( A na a)wanasema ni tofauti. Pedestrian bridge ni footbrigde kwasababu ukibadili kwa kiswahili yote yanakua madaraja ya watembea kwa miguu. Ukija na propaganda za baiskeli basi we ni mkenya hasaaaa..
Sijaipata mtanzania mjinga kama wewe[emoji23][emoji23]. Footbridge and pedestrian bridge ni kitu kimoja[emoji23][emoji23]. Anyway I'm not surprised since Tanzanians are not used to such structures.
 
Sijaipata mtanzania mjinga kama wewe[emoji23][emoji23]. Footbridge and pedestrian bridge ni kitu kimoja[emoji23][emoji23]. Anyway I'm not surprised since Tanzanians are not used to such structures.
Ulitaka uletewe pedestrian path! Ukaletewa footbridge ukaanza kubwabwaja 💉💉💉watu wataona nani mjinga zaid yako 😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…