Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's evident that you're out of the loop, you don't know what's cookin'.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] swali la kijinga sana,,,,,,,,,,

ni sawa sawa nakumuuliza mtu mbona unajilisha chakula ,kwanini usingojee kulishwa....?!!
Kulishwa ni hko kujengewa bus terminals na serikali[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umejipiga na msemo wako mwnywe, kujilisha ni kujijengea office yako na lounge ya kueleweka
 
Kwa sababu majority ya wakenya hawana uwezo wa kusafiri kwa bus,only mbukinya na nganya
Nganya ni ghali kuliko yale mabasi yanayopiga route mbona watu wanayaacha na kupanda nganya basi na wakati ni cheap kuliko hzo nganya
 
Kulishwa ni hko kujengewa bus terminals na serikali[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umejipiga na msemo wako mwnywe, kujilisha ni kujijengea office yako na lounge ya kueleweka
asiye elewa maana haambiwi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…