Mambo zinazo endelea hapo Uganda , sijasikia hata taifa moja la mabeberu likiongea, dhairi kwamba hawana interest na Uganda sababu ya kutokuwa na resources wanazo hitaji ....vibwengu hawa....hii mambo ingekuwa Tz saivi kila nchi ingekuwa na lakuongeleaView attachment 1633709
Hii issue ya Kenya kuwa the third biggest economy in Sub-Saharan Africa naona imekuuma sana Geza. Pole mzee wetu.
Hii issue ya Kenya kuwa the third biggest economy in Sub-Saharan Africa naona imekuuma sana Geza. Pole mzee wetu.
Kwa sababu majority ya wakenya hawana uwezo wa kusafiri kwa bus,only mbukinya na nganyabecause bus stages and terminals make no sense in Kenya
Yaani unaona raha kupanda chuma chakavu (skrepa).!!?Hii kitu inatia raha Sana msee😍😍🔥
View attachment 1633752View attachment 1633753View attachment 1633754View attachment 1633755
Chakavu wapi?kitu Safi sana,Kama tu kwa ndege🤣😍😍Yaani unaona raha kupanda chuma chakavu (skrepa).!!?
Au mi ndo nimeelewa vibaya!
Nadhani ulimanisha 3rd largest kwa loan!Hii issue ya Kenya kuwa the third biggest economy in Sub-Saharan Africa naona imekuuma sana Geza. Pole mzee wetu.
Top picsHii kitu inatia raha Sana msee😍😍🔥
View attachment 1633752View attachment 1633753View attachment 1633754View attachment 1633755
Ndo ulivyodanganywa?!!...hiyo ni skrepa mzee imetumika spain kwa miaka 38 ..walivyoona linabuma mara kwa mara wakatafuta mshamba wakamuuzia,yaani nyie huku bongo tunawaita mang'ombe,w akuja au wachimba chumviChakavu wapi?kitu Safi sana,Kama tu kwa ndege🤣😍😍
Loan ya Kenya ww kama mtanzania inakuwashia wapiNadhani ulimanisha 3rd largest kwa loan!
Maintenance ya hilo dude ni bora mngenunua mpya tatizo kenya elimu haina msaada kwenu so hamuelewi concept ya long run na short run.Hii kitu inatia raha Sana msee[emoji7][emoji7][emoji91]
View attachment 1633752View attachment 1633753View attachment 1633754View attachment 1633755
Sishangai excitement yako kwasababu Miaka yote umekuwa ukipanda gari za matatu zilizojaa kunguni. Hizo second hand trains ni za kawaida tu mbona? Nothing special about them. Unless zingekuwa new na aina ya EMU labda Ndio ungenishawishi na mimi kusherehekea juu yenu.Chakavu wapi?kitu Safi sana,Kama tu kwa ndege🤣😍😍
Hawana uwezo wa kumiliki EMU wasubiri EMU za kwanza East and Central of Africa ambazo zitapatikana Tz watoe ushamba.Sishangai excitement yako kwasababu Miaka yote umekuwa ukipanda gari za matatu zilizojaa kunguni. Hizo second hand trains ni za kawaida tu mbona? Nothing special about them. Unless zingekuwa new na aina ya EMU labda Ndio ungenishawishi na mimi kusherehekea juu yenu.