Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I didn't know this. This is very interesting.
 
Tigray wakijaribu kulipua dam watajenga chuki na Wahabeshi wote including Watigrinya wenyewe. Wahabeshi wanaona hio dam kama saviour yao kutoka umasikini. Tigray tayari wameshatupa missile Eritrea. Wakilipua dam basi itakuwa full fledged war maana saa hii naona serikali ya Abiy inasema hii ni short war with specific aims. Lakini Abiy anaweza kuamua full fledged war against enemies of state. Hii itawacha kuwa small targeted war na iwe all out war.
 
Wadau nina swali. Why is Tanzania still one of the poorest countries in the world in terms of Gni per capita?
 
Ukishikwa unatafuta pa kutokea with a negative news from Kenya, wala hauna jibu😂😂😂😂 kojoa ukalale😂😂
Hio ndio kitu munaweza kujiibiwa wenyewe alaf mutafute mikopo yakuendesha nchi 😂😂
 
Mnakumbuka wale wanaharakati uchwara wa twitter walivyo kuwa wanahamasisha wafuasi wao eti hawa wasanii wasipigiwe kura kwenye hizi tuzo kisa walishiriki kwenye kampeni huku wakiwapigia kura wasanii wa kunyaland ili wawakomoe wasanii wa bongo,

Yaani kila walipangalo hawa wanaharakati uchwara wa twitter linakwama [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya sasa washindi wa Afrimma 2020 East Africa ndio hawa.

 
Hahahahaaaa kwenye hii tasnia tumewapiga 100-0
 
Watigrinya si ndo hao wamelianzisha dhidi ya serikali ya Ethiopia? Jiulize wamepata wapi guts! Lazima wana support toka nje!
 
Huyu mkunya huwa anaumia kinoma kuhusu Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]

Nchi zenye rangi ya blue bahari ziko mbili Africa lakini ameona tu Tanzania.


Huku officials of GoK wakiendelea-kuchop Coronavirus funds!


 
So ww ulitaka tuingie mkenge au?? Na magufuli kaweka wazi kama watakuja na maelewano yanayomwingia mtu akilini then its ok lakini kama masharti ndio yale yeye kasema hata mlevi hawezi kukubali
Mngekuwa na pesa wala hamgejisumbua na masharti ya wachinku. Lakini pesa za kujenga bwagamoyo port hamna ikabidi mje na visingizio za kijinga mara ni white elephant sijui eti it's not economically viable blah blah blah
 
Huku officials of GoK wakiendelea-kuchop Coronavirus funds!


Huku madaktari wakitishia kufanya mgomo.

 
Mngekuwa na pesa wala hamgejisumbua na masharti ya wachinku. Lakini pesa za kujenga bwagamoyo port hamna ikabidi mje na visingizio za kijinga mara ni white elephant sijui eti it's not economically viable blah blah blah
Kwanini tukubali masharti ya kijinga yenye kuumiza taifa kujenga bandari ya Bagamoyo wakati Dar na Bagamoyo ni karibu?

Kwanini tukubali masharti ya kijinga yenye kuumiza taifa wakati bandari ya Dar es salaam ipo kwenye upanuzi?

Kwanini tukubali masharti ya kijinga yenye kuumiza taifa wakati bandari ya Tanga ipo kwenye upanuzi?

Kwanini tukubali masharti ya kijinga yenye kuumiza taifa wakati bandari ya Mtwara ipo kwenye upanuzi?

Hatufanyi vitu kwa kurupuka kisa tu muwekezaji ndio anatoa pesa bila kuangalia mbele,

Hii ni Tanzania mpya chini ya Jemedari JPM,

Miradi ya kijinga aka white elephant tumewaachia wakunya...Next Sri Lanka of East Africa (Debt trap)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…