Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wadada huwa wananipa raha mnoo [emoji7][emoji7][emoji7]

Tanzania mabingwa COSAFAWU17 [emoji471]

FT': Zambia [emoji1268] 1-1 [emoji1241] Tanzania

Penati: [3-4]
[emoji1268] - [emoji736][emoji736][emoji736][emoji777][emoji777]
[emoji1241] - [emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji777]

 

cha ajabu na kufurahisha wao ni waalikwa.. na sio wahusika/wajumbe wa hio tournament

pia hakuna mchezaji wetu aligundulika na corona ingawa sis hatujafanya any lockdown ya corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…