Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww njoo ukifikw nitafute inbox nikupeleke sehemu ukale bata mpaka kuku aone wivu😂
 
😂😂😂😂

Ambia the fat Dar is slum iheshimu dadake mkubwa! Kunona sio uzee😂😂 heshimu mzee😂
Wakenya ni washamba sana dah sasa hapa kaongea nini sijaelewa, hii aina ya ubongo sijui ni pentium ngapi....dadeki!!!!🤣🤣🤣 hakuna tofauti na lile tangazo la 3G,haki ya nani!!!!Deki inameza mkanda kila muda.🤣🤣🤣.
 
Hahaha!!kenya risasi ni kichwa njoo uwajaribu alafu uone km ninachoongea ni utoto au vipi..
Unaongelea vazi au risasi? Sishangai mana nyie ni uncivilized kabisa...ukiskia risasi ya kichwa uku iyo n yajeshi sio polisi...labda batimbaya
 
Hawa Wakenya wanaojifanya smart hakuna kitu kilichonifanya niwadharau kama hili movie la Covid wanalochezewa!Na wako tu humu JF wakibuy time pang'ang'a nyingi... Such a shame.
 
Unaongelea vazi au risasi? Sishangai mana nyie ni uncivilized kabisa...ukiskia risasi ya kichwa uku iyo n yajeshi sio polisi...labda batimbaya
Hao ni polisi jomba[emoji23][emoji23][emoji23]
Risasi zao ni kichwa mtu hamna lingine, hao jamaa hatari sana..
 
When Britam tower meet TPA
TPA: Hey can you tells me your actual height with 31 floors?
Britan : that is kinda confused one, because i have more than one height , so you want the one i wear a cap(antenna) or without it? If they remove my cap i wll be no where near you
TPA:[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] keep it ...
 
Hao ni polisi jomba[emoji23][emoji23][emoji23]
Risasi zao ni kichwa mtu hamna lingine, hao jamaa hatari sana..
Sasa polisi anapiga raia kichwani ? Nyie mnatofaut gani na yale ya Flowd? Wanajeshi wenu wanapiga wapi sasa?....inamana unaweza iba kuku ukala shaba ya kichwa, au ukandamana wakija jama ukaishia kwenye jeneza[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Sasa hilo ndio tatizo la kudandia treni[emoji23][emoji23]
Hapa ishu ku counter terrorism km mwnzako alivyojinadi km hao waimba taarab wa hko eti wako vizuri..

Nlikua najaribu kuwaonyesha km wale majamaa watawatishia wake zao tu(watz).
Lkn wala hawana lolote zaidi ya kupiga watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…