Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hio ndio suburb umemaliza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ asante kwa kupost nilijua pumzi yako wapi itaishia asante sana
Hapo wewe umeona Bamburi?., Bombolulu? Not even a half of Nyali na pia Kizingo area is coveredπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, umeona Ganjoni area???., si unadai kujua MombasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., nilijua utajikaanga na mafuta yako kama ngurue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., wapi Mwanza anywhere near?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni Kiswahili tu imebakia unifunze through your response.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nipe misamiati kaka hauna lingine la maana...
 
Hiyo article ingekuwa na date au heading ingekuwa sawa. Lkn ipo ipo tu.
Kwa vile hata mwenyewe hujui ulikoitoa, basi acha niiweke kwenye kundi la nyaraka zenye mashaka.
 
Hiyo article ingekuwa na date au heading ingekuwa sawa. Lkn ipo ipo tu.
Kwa vile hata mwenyewe hujui ulikoitoa, basi acha niiweke kwenye kundi la nyaraka zenye mashaka.
Stop acting clever boyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Google it., just type the headline tu ama the theme being discussed, una uzembe kakaπŸ˜‚πŸ˜‚ prove it wrong!
 

Why Tanzania’s statistics look fishy

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eliakeem finance minister kwa biblia, mbona wewe msumbufu hivyo?
 
uehehhehe siushamaliza suburb bro au bado kuna jingine???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
deal with moshi first πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ na ukitaka tuingie kwenye hotels moshi utakimbia weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
baada ya hapo muulize is that official source usikie mapovu ya kwenye makalio sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndiyo maana naenda naye taratibu. Maana mara nyingi kwenye facts and figures wana edit.
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Maneno meengi, badala ya kurusha tu link.
 
Guys have a good and successful day you all!
uehehhehe siushamaliza suburb bro au bado kuna jingine???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unaumwa kweli, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sasa hiyo Mwanza wapi na wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Machakos tu imeibwaga knockout kwa residential, a county no where near top 5πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, tulia tu pale pale Dar., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚you are still at the tail end of mido income, ambayo pia WB na imf wako na tashishwiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ facts never lie. Wewe kwa kiswahili na domo domo ni bingwa wa jfπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
na siku nakuru watawwz kujenga modern bus terminal kama hii naomba unijulishe plz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Ndiyo maana naenda naye taratibu. Maana mara nyingi kwenye facts and figures wana edit.
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Maneno meengi, badala ya kurusha tu link.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww uliza hilo swali uone ushuzi atakaotoa
 
siushapost suburb za mombasa au bado bro au kuna jingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

mm sijakwambia ulie hapa nashangaa unaanza kulia kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…