Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😵 Kumbe ni maswala ya chuga vs dsm? kumbe ni chadema? huna lolote wewe mshamba tu unatembelea vijii unasema ni miji, miji ya mfano ipo africa? ungefika hata Cape Town au Cairo ningekustahi ila huna lolote wewe limbukeni tu
 
Hi! kumbe nilidouche bug la kusafisha mitaro ya kwenye viguest vya uswahilini? ungekua mtu wa kuzunguka hata na gari yako au ndege wa kulala mahoteli kama serena n.k kwenye pc kali ningekuona wa maana kumbe nilisenge fulani la kuhesabiwa mabao 😀😀😀. Wee boya huwezi kuuona uzuri wa dar hata ungepiga dili la m50. Unakosa m40 na unaona umekosa kitu kikubwa? Wewe hata kuwepo JF ni disco limeingia masai
 
Lakini bandwagons huwa hawapendi ukweli.Ccm imewabeba ufala sana hadi ni ngumu kwao kuona ukweli.The problem with them is that they are their own problems
😀 😀 😀 Naona conversations kati yenu zinaenda fresh, huyo ndio perfect match for you. Hongereni sana hii ndio JF bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…