Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At least umeamua kuweka hii yenu yenye imechakaa, mbona mnapenda kuiba picha za watu lakini? Last time uliiba picha za Kenya.
so umepanic tayariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bahat nzuri i know u very well
 
Hii hapa inaitwa H225 nazo ziko mbili tu East and Central of Africa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Rudisha hiyo picha penye umetoa mwizi wewe. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Umeumia sn na huamini macho yako ulidhani natania, si umeona now umeacha kupost uchafu wako [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo ya juu inaitwa H225 ziko mbili tu East and Central of Africa alafu hyo ya chini ndo inaitwa H215 nazo ziko mbili tu ukanda huu ila cc huwa kawaida yetu kukaa kimya hatupendi kutoa siri za jeshi letu, tunataka cku mtu ajichanganye aguse anate[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…