Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best 007 kuja hapa, umesema hizi ni ndege za Tanzania na hao wanjeshi wazungu pia ni Watanzania? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
That`s just a writing. Ebu niambie, siku hizi watanzania ni wazungu?
Hiyo inaitwa H215 cougar iko Tz tu ukanda huu na ziko mbili hizo, pia kuna ile nyingine ya kisasa kabisa ambayo ww na wenzako mliwahi kusema ni ya Pompeo nazo ziko mbili tu ukanda huu na zipo Tz [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…