Hakuna mahali WB imeripoti mna kilometres 18k za lami bali imemnukuu afisa wenu akisema kenha ina kilometres 18k ambapo Hakuna neno linasema kwamba ni za lami π π πHio 11k ni WB ilireport. Hio 18.5k vile vile ni WB imereport. Vipi utakubali 11k ya WB kisha ukose kukubali 18.5k ya WB? Wacha mchezo.
Ungekuwa unajiamini ungekweka tarehe.Hahahaha kwa hiyo kilometres za lami kumbe zinaenda zikupungua?
Wewe si umesema kenha ina kilometres 18k na kura haijawahi kuwa na kilometers zaidi ya 500? πππ
Hizo ni kilometres za ushuzi?
huku debt to GDp ratio ikiwaramba makalioπππππ
nchi imeozaView attachment 1602029View attachment 1602030
unafananisha developed countries and devwloping country hvi ww unaakili sawa kweli ???ππππEqypt debt to GDP ratio, 80%
Japan debt to GDP ratio 200%
USA debt to GDP ratio 120%
Kwani neno highway inaamaanisha "kuku" huko Tanzania? Hujaona neno highway kwenye hio paragraph? Rudi tena ukaisome.Hakuna mahali WB imeripoti mna kilometres 18k za lami bali imemnukuu afisa wenu akisema kenha ina kilometres 18k ambapo Hakuna neno linasema kwamba ni za lami π π π
hehrhrhe wako hapa wanafananisha madeni ya developed country na developing countryπππππAstaghafullilah...Na ile GDP yao ya makaratasi $101 bln hili deni ni % ya GDP?
Eqypt debt to GDP ratio, 80%
Japan debt to GDP ratio 200%
USA debt to GDP ratio 120%
inaeza kua highway lakini ikawa sio paved pia au hilo hulijui???πππKwani neno highway inaamaanisha "kuku" huko Tanzania? Hujaona neno highway kwenye hio paragraph? Rudi tena ukaisome.
Upige nduru ama ucheke bado tutaendelea kukopa.so leo unafananisha japan na kenya
yani developed country vs developing countryπππ hapo ndipo utaona kwann mzungu anaakili
Ebu tuonyeshe highway haijakuwa paved Kenya.inaeza kua highway lakini ikawa sio paved pia au hilo hulijui???πππ
deni linenda 85% + to GDP ratio wako hapa wanashangilia tena wanajifananisha na japan na USAπππ wakat hzo hzo nchi ndio wanawapa misaada kila leoAstaghafullilah...Na ile GDP yao ya makaratasi $101 bln hili deni ni % ya GDP?
Kwa hivyo lazima WB waandike paved highway ndio Ichoboy ajue kuwa kinachozungumziwa ni lami? Hehe. Mzee wewe ni expert kwa kusongeza goal post.inaeza kua highway lakini ikawa sio paved pia au hilo hulijui???πππ
Tutakopa hadi tufike 300%.deni linenda 85% + to GDP ratio wako hapa wanashangilia tena wanajifananisha na japan na USAπππ wakat hzo hzo nchi ndio wanawapa misaada kila leo
πππππππ nchi imenyea hapaUpige nduru ama ucheke bado tutaendelea kukopa.
National Debt by Country: The Top IOU Nations of 2020.
na hakuna wakuwakopa kwa sasa manake hakuna profit return nchi imewanyea sasaπππππ ndio maana mumeanza kuingia kwenye PPP projects hakuna mtu wakuwapa pesa kwa sasaTutakopa hadi tufike 300%.
LOL Kenya nzima Hakuna barabara za mijini zenye urefu zaidi ya kilometers 500 πππUngekuwa unajiamini ungekweka tarehe.
nani atawakopa kwa sasa πππ mutauza nchi kwa PPP sasa subirinu uone mchina atakavowanyongaTutakopa hadi tufike 300%.
Hivi wewe una akili timamu kweli? Nioneshe mahali kwenye hiyo attachment kumeandikwa paved highway 18k kilometers π π πKwani neno highway inaamaanisha "kuku" huko Tanzania? Hujaona neno highway kwenye hio paragraph? Rudi tena ukaisome.
kwani hujui maana ya paved au ni sawa mm niandike tony ni mtu je mwengine anaeza jua ww ni dume au jike??? acha utoto wewe tonyKwa hivyo lazima WB waandike paved highway ndio Ichoboy ajue kuwa kinachozungumziwa ni lami? Hehe. Mzee wewe ni expert kwa kusongeza goal post.
unitag plz ππππHivi wewe una akili timamu kweli? Nioneshe mahali kwenye hiyo attachment kumeandikwa paved highway 18k kilometers π π π
hahaha na bado hamushtuki ππππππTutakopa hadi tufike 300%.