Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚




 
Ndege lazima uagize rasmi kutoka boeing au Airbus na itachukua zaidi ya miaka mitatu kupanga laini na ujenzi wenyewe. Sasa kama mna haraka the only option ni kulease cargo planes.
 
joto la jiwe Naton Jr The best 007 ichoboy01 ndio hii official report kutoka World Bank na inasema kuwa Kenya ilikuwa na 18,500 km za highway in 2018. Someni hio report iliyowekwa na WB na Teargass
 
Jikite kwenye facts. Thermal inacontribute less than 15% of Kenya's power generation.
32.5% of your whole power supply is from imported fossils, Tanzania tulishaacha nao sababu ni ghali sana

Power profile yenu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

This generation energy mix comprises 52.1% from hydro, 32.5% from fossil fuels, 13.2% from geothermal, 1.8% from biogas cogeneration and 0.4% from wind, respectively. Current electricity demand is 1,600 MW and is projected to grow to 2,600-3600 MW by 2020.Sep 24, 2020
 
Nimeamua niende kwa Website ya World Bank na sio tweet ya wasiojielewa. Hiyo ya 2018 ndio latest update ya World Bank, hawajaweka ya 2019 which they will update to 21,000km.
Sasa usikubali waruke. Washikilie kabisa hadi wakubali. Coz hata ile ya 2017 ya 11,000 ilikuwa ya WB. So they don't have any basis to reject this one. Both reports are from the same body.
 
Hahahaha yaani kweli mpo desperately, the quoted statement from the Clueless Jubilee slave, tena kasema designated stretch ndio umefanya official WB statement? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hamtakaa mnasuke kwenye 11k leo wala kesho 🀣🀣🀣🀣
 
Sasa usikubali waruke. Washikilie kabisa hadi wakubali. Coz hata ile ya 2017 ya 11,000 ilikuwa ya WB. So they don't have any basis to reject this one. Both reports are from the same body.
Nawangoja warudi na ile tweet yao.
 
Sijasema geothermal ni fossil
 
My bro, one question for u is is geothermal energy not a thermal energy? Plse answer πŸ˜‚ ☝️
Geothermal energy is thermal energy coming from deep down the earth. It is thermal energy. But what matters is the context in which the word "thermal power is used". In Kenya we use the word thermal power to refer to diesel generated electricity. That is how Kenya power refers to electricity generated by diesel. Sasa unaeza kubali kuwa hivyo ndivyo Kenya power inavyoita diesel power ama ukatae
 
So siku hizi jubilee wanatumia Website ya World Bank kutoa taarifa?🀣🀣🀣🀣
 
Ndege lazima uagize rasmi kutoka boeing au Airbus na itachukua zaidi ya miaka mitatu kupanga laini na ujenzi wenyewe. Sasa kama mna haraka the only option ni kulease cargo planes.
Ya mizigo haichumukui muda mrefu kutokana na kuwa structural design yake sio kama passenger planes na pia haihusishi developers wengi kama za abiria.
 

Sasa mbona unekuwa uki-imply geothermal energy si thermal? Umejibu baada ya kuingia google search sio? FYI u r wrong if u imply thermal energy to be only from diesel in Kenya may be if u imply direct thermal! Any power generation from a conversion of heat energy to electric energy is thermal! That means all power from solar, coal, geothermal, steam, diesel n gas is thermal! where windpower is not as kinetic energy is converted to electric energy! Mind u renewable source can be thermal also!

BTW why is gas energy considered renewable while comes from fossil fuel?

If u need a lecture come huku!
 
So siku hizi jubilee wanatumia Website ya World Bank kutoa taarifa?🀣🀣🀣🀣
View attachment 1601979
Hahahaha that's QUOTE from WB project benefitiary, na statement yake haina uhusiano wowote na WB sababu ni quoted statement na hata hiyo statement haisemi paved roads, inasema designated stretch haijulikani ni stretch ya mavi ya ng'ombe au ya ngedere πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
When did Home become a foreign company?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…