hahahah hizo picha za mji gani kaka
hapo hapo. ata usiende mbali... shuka chini kwa Density kisha uniambie nani pumbahuo ndio ukweli
Dar es Salaam
Mzizima
Bongo[citation needed]
City and Region
City of Dar es Salaam
Dar es Salaam city skyline
Dar es Salaam
Show map of TanzaniaShow map of AfricaShow all Location of Dar es Salaam in Tanzania
Coordinates: 6Β°48β²S 39Β°17β²ECoordinates: 6Β°48β²S 39Β°17β²E
Country Tanzania
Zone Coastal
Districts
List[hide]
Government
β’ Regional Commissioner Paul Makonda
Area[1]
β’ Total 1,590.5 km2 (636 sq mi)
enh ππππππ umebadilika tena au sio kwelihapo hapo. ata usiende mbali... shuka chini kwa Density kisha uniambie nani pumba
Walimu wako walipata tabu sana na ww ulianza kujua kusoma grade ngap? [emoji16][emoji16][emoji16]
hahahha ndio maana nimemuuliza hapo dar sehemu gani nilikua nasubiri ajibu tu alaf aoneπππππππTumeshakuambia iyo ni Zanzibar lakini kwa vile IQ yako ndogo unang'ang'ania iwe Dar...
So you mean this are not towers? View attachment 527465
wapi hizo space ni ardhi za watu hizo ......hamna chenuBe smart those images are not from the same height distance, don't be bias. On the Nairobi pic you can even see the plane is clearly on the clouds level. Ama undhani hatujapanda ndege.
umeangalia pa kukufurahisha tu... ama hujui maana ya Density???enh ππππππ umebadilika tena au sio kweli
ukweli utabaki palepale urban city area
dar is 1590.5 km sq
nai is 696 km sq
so uraban area tumekubaliana kua nairobi inaingia mara 3 kwa darππππππ ili tuendelee mbeleumeangalia pa kukufurahisha tu... ama hujui maana ya Density???
Nairobi - Wikipedia
Dar es Salaam - Wikipedia
haha... wacha kulia bruh!Walimu wako walipata tabu sana na ww ulianza kujua kusoma grade ngap? [emoji16][emoji16][emoji16]
nyumbani ni nyumbani wapi dar inakutoa jasho sasa unatafuta picha zingine ambazo sio darπππππhaha... wacha kulia bruh!
nyumbani ni nyumbani
safi sana. imeingia penyewe penye... so kuanzia leo jua Nairobi ni Kubwa saana tena sanaso uraban area tumekubaliana kua nairobi inaingia mara 3 kwa darππππππ ili tuendelee mbele
tafuta kifuta machozinyumbani ni nyumbani wapi dar inakutoa jasho sasa unatafuta picha zingine ambazo sio darπππππ
soma vizuri maelekezo masharti na vigezo kuzingatiwaπππππππsafi sana. imeingia penyewe penye... so kuanzia leo jua Nairobi ni Kubwa saana tena sana
unatapika sana ndio tatizo......dar onlu 10 yrs munakua hviπππππππtafuta kifuta machozi
kama 696 km sq ni kubwa kuliko 1590.5 km sq den its okeyπππππsafi sana. imeingia penyewe penye... so kuanzia leo jua Nairobi ni Kubwa saana tena sana
Nairobi Metro = 4850squareKmkama 696 km sq ni kubwa kuliko 1590.5 km sq den its okeyπππππ