Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It makes sense ukilinganisha na hile 32% access rate.
2015, wakati wanaingia madarakani, vijiji vilivyounganishwa vilikua ni 2000, sawa na 32%

Wameunganisha vijiji 7000 ndani ya miaka mitano ya uongozi wao kufikisha vijiji 9000, bado inabaki kuwa 32%, au ndani ya hiyo miaka mitano hawajaunganisha hata kijiji kimoja?

Sikiliza kwa makini
 
leo naona unajitia vidole mwenyewe😂😂😂😂👇👇👇👇 nilikwambia hapa huchomoki wewe
 
Wewe stick to your low and old models, next time understand the topic. "on average"., nyie your level ni akina cameroon, Togo, Ghana na akina Uganda pia kwa hiyo sector, old model dala dalas ni kama 80%.,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] so now you play average card hahahaha ....you use trush cars at it best level , those couple of pc doesnt change a thing...[emoji706]
 
Must be typing error I think, you cant talk about 9,000 villages and 2.7M People, that is impossible.

What is important here is the number of village connected which is about 85% of all villages in Tanzania.
anajitia uchizi huku akijitia vidole mwenyewe😂😂😂😂
 
anajitia chizi 😂😂😂👇
 
Kutoka 2015 hadi 2019 wameunganisha nyumba ngapi? That`s where the question should be. Na according to that article, from 2015 hadi 2019 wameunganisha nyumba 1.2m. Mko nyumba na ngapi Tanzania?
 
Kutoka 2015 hadi 2019 wameunganisha nyumba ngapi? That`s where the question should be. Na according to that article, from 2015 hadi 2019 wameunganisha nyumba 1.2m. Mko nyumba ngapi Tanzania?
The question is how many. The responsibility of the government is to make sure all villages are connected with electricity and to make sure the connection costs are affordable to majority of customers who need to be connected.
 
The question is how many. The responsibility of the government is to make sure all villages are connected with electricity and to make sure the connection costs are affordable to majority of customers who need to be connected.
Good. Now electricity Access rate inatoka kwa the number of connected households divided by the total number of households in the country and then you multiply by 100. Ikifanywa hivo mnabaki kwa 32%
 
Good. Now electricity Access rate inatoka kwa the number of connected households divided by the total number of households in the country and then you multiply 100. Ikifanywa hivo mnabaki kwa 32%
85% of Tanzanians are connected to electronicity, Kenya only 68%. this is the fact stop yapping [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
85% of Tanzanians are connected to electronicity, Kenya only 68%. this is the fact stop yapping [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama 85% siku hizi ni 2.7 million na 68% ni 6.9 million then unafaa 👇 👇👇👇👇 ukajifunze maths.😂😂
 
Good. Now electricity Access rate inatoka kwa the number of connected households divided by the total number of households in the country and then you multiply by 100. Ikifanywa hivo mnabaki kwa 32%
Wakati unaimba pambio unapaswa kujua vijijini kunganishwa umeme ni 27000 tu Tsh...sasa endelea kuongea kama hamnazo....kama unakili timam utacha ubishi wa kipuzi
 
Wewe uoni data zako ziko na shida? Tanzania only have 2.7 million custumers that are connected to electricity. Kwani hao 2.7 million inatoshana na 84%? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ss hata ukipewa facts bado unapinga utaishi maisha hayo mpk lini? Kwnn unapenda kujifariji ujinga? Watu wanakupa recent record ww bado unalazimisha na records za kitambo kwnn unakuwa na utoto mwingi hv? Ss hii ni battle gn ya kipuuzi hv eti? We kuwa km wenzako umeleta source ya uongo ya 21k paved road wamekupa source from WB ya 11k bado unapinga.
 
Sasa mbona unalia? Hiyo 2.7 million customers connected to electricity nimetoa kwa zile links za Ichoboy. Sasa nataka uniambie tangu lini 2.7 million households out of more than 10 million households zishaikuwa 84%. Ebu nieleze nielewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…