Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2020 hujui hata maana ya unclassified roads πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ basi kazi ipo sana kwa kenyatta
Kenya paved roads ni 21,000km , Tanzania paved roads ni 12,000km. Huu ukweli hakuna mwenye anaezabadilisha.
 
By the way, you are one of the dumbest guys around here.
hahahhaha unclassified road unajitia umesoma wewe serious πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Angalia hiii table vizuri alafu uniambie hiyo unclassified that is not paved in iko wapi?

View attachment 1599834
Angalia hiii table vizuri alafu uniambie hiyo unclassified that is not paved in iko wapi?

View attachment 1599834
bila kusahau hiii unclassified nimecheka sana leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kenya 21,000km
Tanzania 12,000km.

Leo mtahangaika mpaka mchoke 🀣 🀣 🀣
mm hua sihangaike na mpuuzi kama ww kwasababu i know u 3 yrs ago so hata sipati tabu kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
siku utajua maana ya unclassified road nitafute mm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona unakubali pole pole kuwa Kenya tuko na 21,000km of paved roads wakati Tanzania bado imekwama kwa 12,000km.
 
mm hua sihangaike na mpuuzi kama ww kwasababu i know u 3 yrs ago so hata sipati tabu kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Najua unachukuia kuona vitu kama hiviπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡. Lakini usijali, hivi karibuni tutaelewana.
 
Ss ikiwa Tony254 amesoma kuliko ww na amewahi kwenda nje ya kenya kupata exposure kilaza mtoto wa mama mkazi wa Kibera km ww ni nani uanze kumbishia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
So benchmark yako ni Tony254 ? Congratulation to him for being your mentorπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Ss ikiwa Tony254 amesoma kuliko ww na amewahi kwenda nje ya kenya kupata exposure kilaza mtoto wa mama mkazi wa Kibera km ww ni nani uanze kumbishia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
usipoteze muda kabisa bro kubishana na watu hawajui maana ya unclassified road πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamii forum ni yakushkuriwa sana
 
Ss ikiwa Tony254 amesoma kuliko ww na amewahi kwenda nje ya kenya kupata exposure kilaza mtoto wa mama mkazi wa Kibera km ww ni nani uanze kumbishia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee mimi sio engineer. Mimi ni mchumi. Kwa hivyo mambo ya barabara nimemwachia Teargass apambane nanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…