Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

destroying the pride of kenyans by reposting those comments that drive them mad.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kutoana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la Kikuyu.that being said,i present to you a sample of random photos showing private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
 
haha. mtegemea cha nduguye hufa masikini bro. ndio maana ujamaa imewafanya kuwa masikini wa kutupwa
Below povety line ndio suluhisho 😀😀😀
Tanzania 28.2% kenya 48.6%
AKILI KICHWANI MWAKO
kwanza tafuta unga ule alaf uje uongee😛😛
 
Naona unakamatilia makende vzr maana huo ndio mwiba 😀😀😀😀😀😀😀
 
leta source ya Kawe City 40 x 5.
Huu muradi wa Magufuri wa Magomeni Kota katoa pesa yeye. Jumla nyumba 750 mwenye tower za 8 stores pia office na commercial building za 18 stores. Usiseme ajengi. Naamesema atajenga miradi hiyo kwenye wilaya zote za Dar ee salaam na Dodoma. Tulia sindano ziwaingie. Huku viwanda huku mijengo. All over Dar kasema Magufuri nikuinua tu mkuu
 
hahaha 40flrs x 5 ???? Ok. Agreed.
Lewis bado nipo na wewe unaedai eti Magufuri ajengi nchi. Hayo mabweni ya chuo wanafunzi kulala katumia only Tshs 10 billion kuyajenga nipesa ndogo ukilinganisha najinsi wa China wanavyowapiga. 10 billion kwa Kenya sindogo mkuu. Like 500 million Kenya alafu cheki midude. Naanaposema atajenga wilaya sote za Dar ogopa sana mkuu.
 

Attachments

  • downloadfile-24.jpeg
    79.7 KB · Views: 50
Don't argue with low IQ LDC trollers,
Hata wazungu wakija dar is slum majina magumu. Hivi tuko na upper hill, westlands, Hurlingham, Karen, Lavington ,Ridgeways.... majina halisi sio eti ooh mikocheni, chang'ombe, Tabata, kawe....... difficult names. That's why Nairobi is a white global city.
 
Na hizo pia hua wanazitaja vp😀😀😀😀😀😀

 
nyumbu wa kizungu
 
Emancipate yourselves from mental slavery- Bob Marley
 

Tandale, Jangwani, Buguruni, Manzese, Vingunguti, Kigogo....e.t.c jina ata ukiiskia unastuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…